Harufu ya utapeliWakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya
Mmmmmh ulitumia ID nyingine nini mkuu maana ukiangalia post za nyuma kwa siku tatu hizi hamna post yako yoyote kuhusu laini ya chuo, au umekosea uzi mzee??Wakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya
Huu uzi upo toka tarehe 30 march pitia pitia utagunduaMmmmmh ulitumia ID nyingine nini mkuu maana ukiangalia post za nyuma kwa siku tatu hizi hamna post yako yoyote kuhusu laini ya chuo, au umekosea uzi mzee??
Huduma hiyo bado ipo?Huu uzi upo toka tarehe 30 march pitia pitia utagundua
Yah ipo na ndan ya siku saba unawezeshwaHuduma hiyo bado ipo?
Sijakataa chief ila wewe umesema juzi je 30 March ni juzi??Huu uzi upo toka tarehe 30 march pitia pitia utagundua
Chief hii kesi kwenye huu uzi haipoHuu uzi upo toka tarehe 30 march pitia pitia utagundua
Labda uanze kuitangaza now hao waliokimbia na hela yako ni akina naniYah ipo na ndan ya siku saba unawezeshwa
Mkuu post [HASHTAG]#618[/HASHTAG] ya tarehe 23/7 ndo nlitoa tangazo.Chief hii kesi kwenye huu uzi haipo
Labda uanze kuitangaza now hao waliokimbia na hela yako ni akina nani
Pole sana mkuu kama ni kweli yamekusibu hayo, si vizuri hii inafanya biashara za mtandao ziwe ngumuMkuu post [HASHTAG]#618[/HASHTAG] ya tarehe 23/7 ndo nlitoa tangazo.
Na post na 632,640 na 641 zinaeleza mnafaikaji wa kwanza ni Chief Mkwawa ambae alipata huduma hii na akalipa vizur bila shida.
Lakin baada ya hapo niliwahudumia watu kibao wengine wanalipa wengine wanazingua tu hawatoi pesa
Wakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya
Mkuu wanaweza wakabadilisha unaporudia rudia? Yangu MF.buku ni mb 400 nikirudia rudia hii option inaweza ikabadilishwa?pia kwenye voda kuna 51gb kwa 50,000 mwezi, 10gb kwa 10,000 kwa wiki, vya siku ni 3gb kwa 2,000 , 800mb kwa 1000 na 300mb kwa miatano. unabonyeza *149*03#. endelea kubonyeza hata mara 20 hadi upate kifurushi unachokitaka. hivi ndiyo natumia kupakua movies na kucheki mechi.
Nakuunga mkonoNashauri voda waje na ofa ya chuo ya Mwezi.
Line za TTCL utazipata katika ofisi zao au kwa Mawakala wanaotembea barabarani... Vocha zao ni shida kidogo ila unaweza kununua vocha kwa Njia ya M PESA kupitia namba yao ya Kampuni 339999 na. Kumbukumbu namba ni namba yako ya Simu ya TTCL. Pia kupitia SelcomLine za TTCL zinatumika kwenye simu za kawaida au simu zao?
na vocha zinapatikana kitaa kweli?
Bila shaka ni ya chuo.HaloteL mia5 mb300 dk2 mitandao yote