Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya
Harufu ya utapeli
 
Mmmmmh ulitumia ID nyingine nini mkuu maana ukiangalia post za nyuma kwa siku tatu hizi hamna post yako yoyote kuhusu laini ya chuo, au umekosea uzi mzee??
 
hao voda me nimteja wakudumu ila wananipa viMB kama ofa yangu idiots nimeistaafisha line kidogo
 
Mmmmmh ulitumia ID nyingine nini mkuu maana ukiangalia post za nyuma kwa siku tatu hizi hamna post yako yoyote kuhusu laini ya chuo, au umekosea uzi mzee??
Huu uzi upo toka tarehe 30 march pitia pitia utagundua
 
Chief hii kesi kwenye huu uzi haipo

Labda uanze kuitangaza now hao waliokimbia na hela yako ni akina nani
Mkuu post [HASHTAG]#618[/HASHTAG] ya tarehe 23/7 ndo nlitoa tangazo.
Na post na 632,640 na 641 zinaeleza mnafaikaji wa kwanza ni Chief Mkwawa ambae alipata huduma hii na akalipa vizur bila shida.
Lakin baada ya hapo niliwahudumia watu kibao wengine wanalipa wengine wanazingua tu hawatoi pesa
 
Pole sana mkuu kama ni kweli yamekusibu hayo, si vizuri hii inafanya biashara za mtandao ziwe ngumu
Wanahusika wamlipe hela yake kijana wa watu
 
Wakuu kama nilikuunganisha laini yako ya voda kuwa ya chuo juzi tafadhari naomba unilipe pesa yangu kama tulivyokubaliana kabla ya kazi. Yaani mi nliwaamini nkafanya kazi lkn kati ya watu 20 ni wanne tu ndo wamelipa. Please lipeni jamani sio fair ntaweka namba zenu hadharani kitu ambacho si kizuri na sitaki kukifanya

Ndo maana mi nlikataa hizi biashara. Bora ni deal na wateja ninaowaona
 
pia kwenye voda kuna 51gb kwa 50,000 mwezi, 10gb kwa 10,000 kwa wiki, vya siku ni 3gb kwa 2,000 , 800mb kwa 1000 na 300mb kwa miatano. unabonyeza *149*03#. endelea kubonyeza hata mara 20 hadi upate kifurushi unachokitaka. hivi ndiyo natumia kupakua movies na kucheki mechi.
Mkuu wanaweza wakabadilisha unaporudia rudia? Yangu MF.buku ni mb 400 nikirudia rudia hii option inaweza ikabadilishwa?
 
Line za TTCL zinatumika kwenye simu za kawaida au simu zao?
na vocha zinapatikana kitaa kweli?
Line za TTCL utazipata katika ofisi zao au kwa Mawakala wanaotembea barabarani... Vocha zao ni shida kidogo ila unaweza kununua vocha kwa Njia ya M PESA kupitia namba yao ya Kampuni 339999 na. Kumbukumbu namba ni namba yako ya Simu ya TTCL. Pia kupitia Selcom
 
Back
Top Bottom