Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hii speed nzuri tu mkuu, na kwa idm inafika hadi 3MBps inamaana hio ni 24mbps sio mbaya.

na 4G sio speed tu hata ping zinakuwa nzuri, hapo mpira unaangalia bila wasiwasi quality yoyote ya HD.
Mkuu am sorry,ninaweza kutumia app gani(android) kupost audio instagram?
 

Nawengine sema hukutuunga pia!!
 
Mquu niunge mimi qwenye icho qifurushi, uwaqiqa mimi nitaqulipa.
 
[emoji849][emoji849] naomba ujuz na mm, mana nimerud zangu voda
*149*03# chagua ya kwako tu then data kama una bahat utakutana nayo maana siyo kwa namba zote ni namba baadhi tu ndo tuna hii offer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…