Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hapo juu anasema 10GB kwa mwezi kwa miezi 3 kwa 5000, inamaana gb 30 kwa miezi 3.
Mkuu am sorry!!....hivi mkuu kama dish la futi nane lina kutu nikilipiga rangi inaweza kuathiri upokeaji wa mawimbi au hakuna shida?
 
Voda mi siwaelew kabisa line yangu ninyotumia toka mda sna wananipa offer za kijinga sana sasa nimeshangaa line niliyonunua miezi 2 iliyopita napata gb5 kwa 2000 mwezi na wakati siwekagi hata salio
Sijui wanatumia vigezo gani
 
Mkuu am sorry!!....hivi mkuu kama dish la futi nane lina kutu nikilipiga rangi inaweza kuathiri upokeaji wa mawimbi au hakuna shida?
nimecheki online hapa unaweza kupiga rangi, sema wanashauri rangi iwe mat na sio gloss. yaani rangi isiwe ni yenye kung'aa na kuakisi mwanga wa jua inabidi iwe ni rangi ilofifia. ikiakisi mwanga wa jua itayeyusha lnb na pia inaweza sababisha muingiliano wa signal dish likiangalizana na jua.

pia paka vyote rangi usipake LNb
 
hapo juu anasema 10GB kwa mwezi kwa miezi 3 kwa 5000, inamaana gb 30 kwa miezi 3.
mimi nimeunganishwa hapo leo
tatizo ni kwamba jamaa nadhani
hataki kunipa maujanja
kwasababu yaye anapiga hela.
na anatoa line kabisa inayotaka
kuunganishwa anaweka ktk cm
yake aunge mwenyewe...nadhan ni kaujanja kadogo sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…