Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,270
- 44,403
- Thread starter
-
- #11,401
Kuna waya unanunua mwenyewe toka router kuja kwenye pc unaitwa ethernet, huo ndio unakupa speed kubwa Sana. Hazina bei Mita 500 madukani kama unaweza suka mwenyewe, ama ukinunua pengine ikawa chini ya 5000 ambao ushasukwa.Waya uliofika ndani kwenye router ni kama ule wa TTCL wa zamani ADSL sijui.
Waya huo wa ethernet naujua. Nikiongelea waya wa kuleta data kwenye Router upo kama wa TTCL, ule wa landlines.Kuna waya unanunua mwenyewe toka router kuja kwenye pc unaitwa ethernet, huo ndio unakupa speed kubwa Sana. Hazina bei Mita 500 madukani kama unaweza suka mwenyewe, ama ukinunua pengine ikawa chini ya 5000 ambao ushasukwa.
Fiber inafanania na ADSL Ila zipo tofauti, ADSL wenyewe zipo mbili Pana kidogo, fiber zipo 3 nyembamba kidogoWaya huo wa ethernet naujua. Nikiongelea waya wa kuleta data kwenye Router upo kama wa TTCL, ule wa landlines.
Yes, ndiyo zipo hivyo thou kwa hii naona ya 3 wameikata inaning'inia kwa nje.Fiber inafanania na ADSL Ila zipo tofauti, ADSL wenyewe zipo mbili Pana kidogo, fiber zipo 3 nyembamba kidogo
Kaka naangalia vipi mpira kwenye Tizen OS?.Fiber inafanania na ADSL Ila zipo tofauti, ADSL wenyewe zipo mbili Pana kidogo, fiber zipo 3 nyembamba kidogo
Inabidi utafute playlist inaweza kuwa bure ama za kununua, download IPTV player yoyote Ile kisha paste hio playlist.Kaka naangalia vipi mpira kwenye Tizen OS?.
Vipi kuhusu vodacom fibre huduma zao zikoje na bei zao zikoje naona wamepitisha waya zao mtaani kwetu
Zitakua hesabu zao na mawazo yao binafsi sio uhalisia kwa sie kama watumiaji tunaelewa kwamba hapo 30mbps ina connect watu zaidi ya hao....Cha 55 unaconnect maximum device 4 mbona chache hivyo
Zitakua hesabu zao na mawazo yao binafsi sio uhalisia kwa sie kama watumiaji tunaelewa kwamba hapo 30mbps ina connect watu zaidi ya hao....
hawa wako wapi ?Hawa wana bei ya kizawa lakini mtaani hawaonekani kabisa
View attachment 3690519
Ctv hao jamaa wa Cable, customer support kama TTCL Tu, wapo Mjini, kkoo, Magomeni, Ilala etc.Hawa wana bei ya kizawa lakini mtaani hawaonekani kabisa
View attachment 3690519
Peak hours inaitwa, muda huo hasa kuanzia saa 12 mpaka 6 hiyo mtandao huwa na traffic kubwa sana sababu watu wengi ndo wanakua wametoka kazini wanakua busy mtandaoni kufatilia updates tofauti na mchana watu wako busy kusaka pesa ma ofisini na biashara za kuzunguka.. ina effect sana kwa sie tunaotumia mobile data zinazo tegemea minara ya simu na hizo wireless routers...Hivi huu ugonjwa wa ikifika usiku kati ya sa 3 mpaka sa 6 mtandao kuwa mbovu kwa voda na wengine inawakumba? nb. Natumia kifurushi cha 30Mps lakini muda huu max ni 10Mps kustream HD inakuwa anasa
MIFI za vodacom ni bei gani?
Sijajua kaka, bei zao specific huwa hazieleweki maana naona mawakala wao ndo wanazouza sana ziko aina nyingi nyingi mi huwa sivizingatii hivyo vidude vyao 😂 nataka unlimited links zao za kueleweka..MIFI za vodacom ni bei gani?