Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Kwanin hauhami??Naanzaje kuihama Tigo
Kwa laini ya kawaida ukiitia vocha ya jero tu, kabla haujaunga bundle unapewa dk 10 mitandao yote,mb20, sms 100. Kwa laini ya chuo kwa 500 dk 5mitandao yote,dk 60tigo kwa tigo na. mb550.Kwanin hauhami??
Hata mimi siwezi kuihama kwa kweli napewa mb nyingi mnooNaanzaje kuihama Tigo?
Kwa menu ipiHata mimi siwezi kuihama kwa kweli napewa mb nyingi mnoo
Menu ipi hiyo mkuu?Hata mimi siwezi kuihama kwa kweli napewa mb nyingi mnoo
Menu ipi hiyo mkuu?
Maana juzi kati nilisajili laini yao mpya, nikawa napata ofa ya Gb 4 kwa sh 2000 kwa wiki. Nimetumia kama mara mbili tatu, hiyo ofa haipo tena.Hata mimi siwezi kuihama kwa kweli napewa mb nyingi mnoo
Ofa naona wameiondoa, imebaki ya mb 300 kama tigo, ni muda wakuwakimbia hawa voda sasaMaana juzi kati nilisajili laini yao mpya, nikawa napata ofa ya Gb 4 kwa sh 2000 kwa wiki. Nimetumia kama mara mbili tatu, hiyo ofa haipo tena.
Kwa laini ya kawaida ukiitia vocha ya jero tu, kabla haujaunga bundle unapewa dk 10 mitandao yote,mb20, sms 100. Kwa laini ya chuo kwa 500 dk 5mitandao yote,dk 60tigo kwa tigo na. mb550.
SH500 NI MB300 KWA WIKI
Naona hizo ofa za Internet wameondoa.Voda namalizia leo bando lao la siku 15 walikuwa wananipa 1536MB
Sijiunngi tena pumbav zao yaan ninunue 350mb kwa 2500?
Wajinga sana hata kama kukomoana sio hivyo aise
Voda inategemea ntu na ntu .Mfano mimi wananipa 1GB kwa 1000Ofa naona wameiondoa, imebaki ya mb 300 kama tigo, ni muda wakuwakimbia hawa voda sasa
Sio kwa Manase au Sadick?Mimi nipo shinyanga lakini nanunulia simu zangu kwa mwanza j5 pro 2017 32GB ( 530k ) na J5 Prime 2017 32G kwa (450K) sijajua kwa maeneo mengine bei iko vp .