Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Maana juzi kati nilisajili laini yao mpya, nikawa napata ofa ya Gb 4 kwa sh 2000 kwa wiki. Nimetumia kama mara mbili tatu, hiyo ofa haipo tena.
Ofa naona wameiondoa, imebaki ya mb 300 kama tigo, ni muda wakuwakimbia hawa voda sasa
 
Kwa laini ya kawaida ukiitia vocha ya jero tu, kabla haujaunga bundle unapewa dk 10 mitandao yote,mb20, sms 100. Kwa laini ya chuo kwa 500 dk 5mitandao yote,dk 60tigo kwa tigo na. mb550.
SH500 NI MB300 KWA WIKI

Kama sijakusoma hivi
 
Voda washakuwa majanga siku hizi toka figisu za mkenya zianze naona wamepunguza bando mi nishawakimbia
 
Voda namalizia leo bando lao la siku 15 walikuwa wananipa 1536MB

Sijiunngi tena pumbav zao yaan ninunue 350mb kwa 2500?
Wajinga sana hata kama kukomoana sio hivyo aise
 
hii mitandao yetu bhana jau sana yani wanaweka ofa nzuri baada ya muda wanatoa sijui wanatuchukulia aje maana wana tuset set mara ivi mara vile daaah inakera sana
 
Back
Top Bottom