Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Unaweza kuelezea zaidi kwenye hizo line za royal?
 
Nakubaliana na wewe
 
Unaweza kuelezea zaidi kwenye hizo line za royal?
Kiufupi hii kesi ya line za halotel za royal ndo nimesikia jana nlipopita kwa wakala ndo nakuja hapa kuangalia ili nipate ufumbuzi. Alivonieleza ni hivi unanunua line kwa Tsh 10,000 na ukishanunua unakua na bando la unlimited mwezi mzima daika kadhaa hivi nimesahau ila around 120 mitandao yote. Baada ya mwanzo unachofanya ni kuweka 10,000 na unaungwa na kifurushi tena automatic.
Nimekuja kuulizia kama kuna ukweli nikanunue hii line na je speed haipungui isijekua ushanunua baada ya siku 2 speed inakua ni 2G
 
Nimeshajiunga mkuu, ukimaliza 2gb speed inakuwa hivi.


Inastream youtube kwa 144p na 240p quality, juu ya hapo ni mikwamo, unaweza kubrowse vizuri tu. Sio mbaya kwa 10k kwa mwezi inasaidia sema kwa wenye matumizi ya kudownload haifai.
 

Hata laini ya kawaida inakubali sio lazima uwe na hiyo laini ya Royal.
Piga tu *148*66#
Kisha 2 Royal Bando nk


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazee kifurushi gani kina bamba saiz? Voda naona dar super uni wmepunguza Mb kwa buku ile ile..kutoka 1gb had 500mb sio poa
 
Wazee kifurushi gani kina bamba saiz? Voda naona dar super uni wmepunguza Mb kwa buku ile ile..kutoka 1gb had 500mb sio poa

Mimi nimeshaitoa line yao tyari
Iko ktk droo hadi wakati mwingine wakija kivingine.
Nipo Tigo chuo na TTCL
Vodacom Wasituhusishe na kesi yao
 
Halotel iko afadhali kwa matumizi madogo lakini kwa wazee wa streaming iko low sana baada ya gb 2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…