Kiufupi hii kesi ya line za halotel za royal ndo nimesikia jana nlipopita kwa wakala ndo nakuja hapa kuangalia ili nipate ufumbuzi. Alivonieleza ni hivi unanunua line kwa Tsh 10,000 na ukishanunua unakua na bando la unlimited mwezi mzima daika kadhaa hivi nimesahau ila around 120 mitandao yote. Baada ya mwanzo unachofanya ni kuweka 10,000 na unaungwa na kifurushi tena automatic.
Nimekuja kuulizia kama kuna ukweli nikanunue hii line na je speed haipungui isijekua ushanunua baada ya siku 2 speed inakua ni 2G