jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Huduma ya Cheka Haipatikani kwa sasa. Jaribu tena baadaye.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimekwambia JAILBREAK zinakusumbua kaa utafakar xna je ni mtu wa xna au ni MPt JFsina comment ya ziada kaka kwa kuwa ulini -quote imenibidi nikujibu ila kwa kuwa mtu mwenyewe ni wale wa "xna" inabidi hiyo mada tuimalize.
umekosea ni saa 22 tukinadumu kwa saa 24 tu!
Kifurushi cha kwanza cha tigo kinaisha leo saa 6 usiku.Hii ni thread ya vifurushi ambavyo sio rasmi kama vya chuo au vifurushi maalum ambavyo vinatoa kiasi kikubwa cha internet, nitalist vifurushi ninavyovifahamu kama kuna wanaojua vyengine watasaidia
Tigo
-1gb kwa shilingi 600
Nunua vocha ya 1000 halafu ingiza mfumo huu *104*namba ya vocha*03# watakukata shilingi 600 na utapewa 1gb ya internet
-Vifurushi vya chuo
Hivi utapata mb na dakika kwa pamoja ila nitaandika tu mb, shilingi 1500 mb500 kwa wiki na sh500 ni mb300 kwa wiki. kujiunga bonyeza *148*01*20# au bonyeza *148*00# kisha chagua vifurushi maalum, itabidi uwe na line ya chuo
Vodacom
-3gb kwa sh 2000 au 800mb kwa sh 1000
Bonyeza *149*03# kupata hivi vifurushi, kutegemeana na line utapata kifurushi kimoja kati ya hivyo
-Vifurushi vya chuo
Kwa sh 500 utapata mb500, 1500 utapata 1gb na 2500 utapata 2gb zinazodumu wiki nzima, kujiunga piga *149*42#
Airtel
-Vifurushi vya chuo
Hawa jamaa wana vifurushi vizuri zaidi vya chuo hasa cha usiku ambacho unapata 10gb kwa sh 600, pia kipo cha kawaida unapata 2gb kwa 1000 na 1.2gb kwa sh600. Kuvipata unahitaji kununua vocha za chuo zinazopatikana vyuoni au kutumia airtel money *150*60# kisha uchague ofa kabambe nafkiri option ya 6.
Halotel
-Vifurushi vya chuo
Hawa wana kifurushi kizuri cha chuo cha mwezi sh 10,000 unapata 10gb ni kizuri kwa wasiopenda usumbufu wa kuunga unga vifurushi, pia kipo cha wiki sh 500 mb600, kujiunga *148*55#
-Usiku 10g kwa sh 1500
Pia kipo kifurushi cha usiku kwa wale ambao airtel haina speed kwao, kujiunga *148*66# kisha utaenda upande wa internet.
TTCL
-Boom pack (vya chuo)
Kwa shilingi 500 utapata 500MB, shilingi 1500 1gb na shilingi 2500 3gb
pia wana vifurushi vya mwezi kwa sh 1500 utapata 2gb, 3000 utapata 4gb na shilingi 5000 utapata 7GB
kujiunga *148*30#
vifurushi vya usiku
kwa shilingi 1000 utapata gb 10 za 4g kuanIa saa 4 usiku hadi 12 asubuhi, kujiunga ni menu ile ile ya *148*30#.
Smart
-Unlimited bundle
Kwa siku unlimited 1,000 kwa wiki 7,000 na kwa mwezi 20,000 tuma neno DATASIKU au DATAWIKI au DATAMWEZI kwenda 100, vifurushi hivi ni kwa watu walio nje ya dar tu
Vifurushi vya youtube
Zipo website nyingi sana wanahost movie youtube, unaweza jiunga kifurushi cha youtube kisha ukatembelea hizo site na kudownload, sema utahitaji bundle nyengine ya kubrowse na bundle ya youtube ya kudownloadia. vipo kila mtandao.
Kuna kifurushi unaona kinastahili kuwa hapo? usisite kukitaja chini.
Remote
Hakiishi mkuu, just kina change kutoka 1GB kua unapata MB100 tu.....Kifurushi cha kwanza cha tigo kinaisha leo saa 6 usiku.
siku nyingi sijawacheki hawa jamaa, ngoja nitaangalia kama kuna upenyo mwengine.Kifurushi cha kwanza cha tigo kinaisha leo saa 6 usiku.
Angalia mapema mkuu. Nasubiri feedback.siku nyingi sijawacheki hawa jamaa, ngoja nitaangalia kama kuna upenyo mwengine.
MB 100 hainisaidii kitu kabisa.Hakiishi mkuu, just kina change kutoka 1GB kua unapata MB100 tu.....
NB; JAZA UJAZWE....
Hahahaa,,izo znaishia ku load home page ya google tu....MB 100 hainisaidii kitu kabisa.
Waliona tunafaidi mpaka wamepunguza Mb kabisa.Hahahaa,,izo znaishia ku load home page ya google tu....
Mkuu hiki kifurushi unajiungaje? Maana kwenye manu ya voda ile ya kawaida hakuna, au ni kifurushi cha wanachuo?
Mkuu hiki kifurushi unajiungaje? Maana kwenye manu ya voda ile ya kawaida hakuna, au ni kifurushi cha wanachuo?
Umejiungia wapi?? Na wengine tukajiungeDuh! Nashkuru baada ya kufanikiwa kusajili laini yangu ya Vodacom kupata ofa ya chuo
Ttcl ninaweza kupata Huduma hii wapi. Na je. Ninaweza kupata ikiwa mimi si mwanachuo??? Msaada tafadhalibora TTCL sh500 unapata 800mb, sh1500 unapta 2gb za mwez na sh2500 unapta 3gb p1 na dk za maongezi.
nipo kongowe MZINGA napata huduna hyoTtcl ninaweza kupata Huduma hii wapi. Na je. Ninaweza kupata ikiwa mimi si mwanachuo??? Msaada tafadhali
Mlimani City, ila uwe na kitambulisho cha mwanachuoUmejiungia wapi?? Na wengine tukajiunge
Kama wewe si mwanachuo huwezi kupata, lazima uwe na kitambulisho cha chuoTtcl ninaweza kupata Huduma hii wapi. Na je. Ninaweza kupata ikiwa mimi si mwanachuo??? Msaada tafadhali
OkKama wewe si mwanachuo huwezi kupata, lazima uwe na kitambulisho cha chuo