Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Kwa wiki sio mwezi....line hii nimeinunua hiv karibuni lkn nilokua nikitumia zamani ilikua najiunga 1500 wiki napata dk 130 na gb 2 sms kibao lkn hii napata mb 800.....au line hizi za sasa wamepunguza?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unajiunga na menu ya *148*55# au *148*66# ?

hicho cha wiki sikifahamu, mimi huunga internet tu,

ngoja baadae nitaviangalia upya vipoje hivyo vifurushi.
 
Habari. Bando zetu ni,

Tsh700= 10GB, Siku 3 (USIKU TU)
Tsh1,100= 2GB, dk 110, SMS, Siku 3
Tsh 1,600= 1GB, dk 150, SMS, Wiki 1
Tsh6,500= 4GB, dk 500, SMS, Mwezi 1

Namba ya System zetu ni 0788315655 jina Edwin kiwale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom