Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Watumiaji wa tigo, ni bando gani la internet la bei rahisi na angalau lina mb nyngi
Tigo kila siku wanapunguza mpb. Labda cha usiku cha 1500 two day Gb 4 kuanzia saa 5 usiku-11 asubuhi
Au cha whatsapp + facebook for 2000 per month
 
waungwana...hivi nikiwa na 1gb naweza kuangalia mpira kwenye online tv mwanzo hadi game ikaisha kifurushi hakijakata?
inategemea na quality, quality ya kawaida ya 360p unaangalia vizuri, quality ndogo hadi mechi 3 utaangalia na hizo mb. ila quality kubwa kama full HD (quality kubwa kushinda dstv), mechi moja unaweza tumia hadi 2GB.
 
Unganishwa na vifurush vya miezi mitatu. *Vodacom* *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 1200 mitandao yote. SMS 5000 na 10GB kwa *VODACOM* Kwa Shillingi 8,000 *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 750 mitandao yote, SMS 5000 na 10 GB kwa Shillingi 6000.
For inquiries njoo inbox.

"Ideas are easy but Implementation is hard."
Mkuu vp nami nahitaji mzee baba hiko cha halotel
 
Zero unit hatoi mrejesho maana mtu asije akapigwa za mbavu chap , hamna alie unganisha na offa izi za 3 monthly
 
Wakuu tafuteni Ttcl ya chuo iko vizuri sana kama una simu ya 4G spidi nzuri na Mb za kumwaga.
 
Unganishwa na vifurush vya miezi mitatu. *Vodacom* *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 1200 mitandao yote. SMS 5000 na 10GB kwa *VODACOM* Kwa Shillingi 8,000 *Airtel* na *Halotel* Pata dakika 750 mitandao yote, SMS 5000 na 10 GB kwa Shillingi 6000.
For inquiries njoo inbox.

"Ideas are easy but Implementation is hard."

Hapa ni kuna kila dalili y kupigw mtu
 
Asante chifu kwa kutupa kitu roho inapenda.Mimi natumia vya ttcl japo vya Airtel vinanivutia ila tatizo Airtel haina nguvu ninapo ishi.
 
Naomba no ya huyo balozi mkuu na jinsi ya kumtafuta
Sms hii hapa nimeicopy na kuipaste hapa[emoji652]



Habari, tunakukumbusha bando zetu ni

Tsh600= 10GB, Siku 3 (USIKU TU)
Tsh1,000= 2GB, dk 110, SMS, Siku 3
Tsh1,500= 1GB, dk 150, SMS, Wiki 1
Tsh6,000= 4GB, dk 500, SMS, Mwezi 1

Namba ya System (AirtelMoney TU): 0785566273 (Jina Frank)

Bando zote zinapatikana MASAA 24!

Kwa msaada: 0785319003
 
Pia nadhani kwa mitandao yote hiyo wanakifurushi cha tv mfamo ,ttcl wanna T-TV ambacho unalipa 800 kwa siku full hbo sikunzima bila kupimiwa mb.
 
272bf549531e550bd4e52472d73fb683.jpg


Hapa ndio airtel wametisha hata kama sio mwanachuo yaani laini ya kawaida unapata vifurushi vya chuo aisee!!!
 
Back
Top Bottom