Wong Fei
JF-Expert Member
- Apr 13, 2016
- 5,083
- 6,872
Tigo kila siku wanapunguza mpb. Labda cha usiku cha 1500 two day Gb 4 kuanzia saa 5 usiku-11 asubuhiWatumiaji wa tigo, ni bando gani la internet la bei rahisi na angalau lina mb nyngi
Au cha whatsapp + facebook for 2000 per month