Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vodda wamenkera kuitoa line yng ofa ya chuo na line yao nmeweka kabatini
Mimi wameniboa, nanunua kifurushi cha wiki nzima halafu natumia matumizi ya kawaida eti kinaisha kwa siku moja.

Nilitamani niwapigie niwatukane nikaamua kuacha ndipo kuna jamaa kaniambia TTCL mambo sio mabaya nikatimukia kule
 
Back
Top Bottom