Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Hii kitu kuna jamaa aliunga kwa tsh 10,000/=, Gb 30 kwa miezi mitatu, kila mwezi napata gb 10 na huu ndo mwezi wa mwisho itabidi tu nimtafute tena kama hii huduma bado .
Huwa line Moja mara Mojaa mzee baba..!!
 
Wadau kuna hii makitu inatembea sana kwa magroup
Inaukweli?
 

Attachments

  • Screenshot_2018-12-22-08-34-27.png
    Screenshot_2018-12-22-08-34-27.png
    143.2 KB · Views: 101
Back
Top Bottom