iNine9
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 4,412
- 8,198
Inategemeana na matumizi yako tu bro! Kama ni mtu wa social networks pekee huitaji TBsKwa speed hii...siunatakiwa uwe Na TB and not GB...mmmmm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inategemeana na matumizi yako tu bro! Kama ni mtu wa social networks pekee huitaji TBsKwa speed hii...siunatakiwa uwe Na TB and not GB...mmmmm
Na wanaitumia hii sana ili watu wanunue hizo laini za 4G...ukienda haloshop ukiwaelezea hii ishu wanakwambia chukua laini ya 4G😂Nampigia customer care HALOTEL anasema ni kawaida [emoji23][emoji23], Hawa jamaa hawako serious kabisaa. Niko hapa nawaza huko huko TTCL Naona wana unlimited ila sina uhakika kama hiyo option inapatikana kwenye menu yao ya kawaida. Naenda kuwaona kesho ofisini kwao.
Si peke yako mkuu ukienda hata page zao za social media haya ndio malalamiko ya kila mtu..Hivi kuna mtu anatumia Halotel royal kwa speed ile ile waliyoahidi yaani 64Kb/sec ?....Maana hii ni week ya pili sasa speed haizid 18Kb/sec
Kifurushi gani hiki?!Hasara waliokula hawa jamaa leo[emoji41]View attachment 1236070
Hivi kuna mtu anatumia Halotel royal kwa speed ile ile waliyoahidi yaani 64Kb/sec ?....Maana hii ni week ya pili sasa speed haizid 18Kb/sec
Na wanaitumia hii sana ili watu wanunue hizo laini za 4G...ukienda haloshop ukiwaelezea hii ishu wanakwambia chukua laini ya 4G[emoji23]
Yeah hilo nilishaliona kitambo....royal bando imekuwa hivyo sana ilhali kwa wengine ndo ilikuwa kimbilio letuHata ukibadili laini iwe ya 4G speed haiongezeki, najionea hapa kupitia laini yangu inasoma LTE lakini speed hata kb16 haizidi. Kapicha madogo eti kana load masaa, Youtube haifungui video.
lakini mkuu hata kwa hii ya kawaida si unaweza kushusha resoltn??App ambazo hazitumii resource nyingi sana kama ram ya simu na internet.
Mfano kuna facebook na facebook lite, facebook ni ya kawaida yenyewe inakuwa na mambo mengi na ni nzito na pia inakula sana mb, wakati facebook lite yenyewe ni nyepesi na mb kidogo.
Youtube pia ni hivyo hivyo youtube ya kawaida inaplay video mpaka za 4k wakati youtube go max ni 480p na unaweza chagua quality hadi 144p ili mb ziende kidogo.
Unaweza mkuu ila mtumiaji wa kawaida mara nyingi hafahamu haya mambo, mfano ukienda habari na hoja mchanganyiko utasikia kelele nyingi za kuibiwa MB toka mitandao ya simu yenye 4g, hii inatokana na website kama youtube kukupa quality kutokana na speed ya internet. Video fupi ya 4k inakomba GB nzima ndani ya dakika chache tu. Ila ukiwa na youtube go kabla ya kuplay video wanakuuliza quality unayotaka na mb zitakazoenda ukiangalia hio video.lakini mkuu hata kwa hii ya kawaida si unaweza kushusha resoltn??
[emoji16][emoji16][emoji16]nimecheka maana.mtu anakurupuka na video ya kiba 1080,akitoka hapo anakaa insta dakika 20 kwa kasi ya 4g.halafu anashangaa gb moja imeenda wapi?Unaweza mkuu ila mtumiaji wa kawaida mara nyingi hafahamu haya mambo, mfano ukienda habari na hoja mchanganyiko utasikia kelele nyingi za kuibiwa MB toka mitandao ya simu yenye 4g, hii inatokana na website kama youtube kukupa quality kutokana na speed ya internet. Video fupi ya 4k inakomba GB nzima ndani ya dakika chache tu. Ila ukiwa na youtube go kabla ya kuplay video wanakuuliza quality unayotaka na mb zitakazoenda ukiangalia hio video.
Mkuu huu mzigo unaitwa ngoma ya wakubwa watoto wakae pembeni.Hasara waliokula hawa jamaa leo[emoji41]View attachment 1236070
Hakuna youtube nzuri kama youtube vanced sifa zakeApp ambazo hazitumii resource nyingi sana kama ram ya simu na internet.
Mfano kuna facebook na facebook lite, facebook ni ya kawaida yenyewe inakuwa na mambo mengi na ni nzito na pia inakula sana mb, wakati facebook lite yenyewe ni nyepesi na mb kidogo.
Youtube pia ni hivyo hivyo youtube ya kawaida inaplay video mpaka za 4k wakati youtube go max ni 480p na unaweza chagua quality hadi 144p ili mb ziende kidogo.
Mimi hutumia ymusic pia ni nzuri.Hakuna youtube nzuri kama youtube vanced sifa zake
1.no advertisement.
2.unaweza lock quality na uka play videos yoyote kwa hiyo hiyo labda u uchange mwenyewe mfano mimi nimelock 240p.
3.ina themes za kutosha .
4.other advanced settings.View attachment 1258535
Halotel unlimited ukiwa na 4g safi sanaView attachment 1263403
Itakuwa cha usiku mkuu.kifurushi gani unatumia mkuu
kifurushi gani unatumia mkuu
Itakuwa cha usiku mkuu.
Gb 90 ndogo hata ukitaka gb 200 unadownload. Ukiwa na kifaa highend kama simu nzuri speed inafika hadi 120mbps, kuna siku peak speed nimewahi fikisha 200mbps.kile cha buku kinapiga adi 90+ gb one night