Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Manu ya kujiunga cha unlimited cha buku usiku halotel ipoje, siku moja moja ukilala saa 10 sio mbaya
*148*66# ingia vifurushi maalum then night offer.

Pia sio lazima ukeshe kama una simu nzuri yenye 4g za kisasa masaa machache unashusha gb 100+

Ama unaweza ukapanga downloads zako ukalala ukiamka unakuta zimekamilika.
 
chief nataka kuagiza router itakayo kuwa compatible na band za halotel 4g nipate speed kubwa vp ii si itanifaa TZS 125,914.90 9% Off | Unlocked Used Huawei 4G Modem Router B593 E5186 B525 B528 with Antenna 4G LTE Router WIFI Router SIM Card Pocket wifi router
 
nzuri mkuu ina band 2600 pia ina 2x2 MIMO ambayo itaongeza speed kwa halotel.
 
wakuu salama kuna mtu amekutana na changamoto ya halotel usiku pack , jana nimejarbu kwanza wamepandisha bei ni 1500 ile ramadhan offer amna tena alaf speed imedrop adi 0.5m nipo na line ya 4g na inasoma 4g full bar kabla sijanza kutumia iyo usiku park nilikuwa na tumia bundle langu la 4g la elfu 5 gb 7 , zilikuwa zimebaki kama gb 2 zilivoisha iyo speed ika drop kabisa ili tatizo kuna mtu kakutana nalo karibuni

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hakuna youtube nzuri kama youtube vanced sifa zake
1.no advertisement.
2.unaweza lock quality na uka play videos yoyote kwa hiyo hiyo labda u uchange mwenyewe mfano mimi nimelock 240p.
3.ina themes za kutosha .
4.other advanced settings.View attachment 1258535
Mkuu nmeitafuta hii app but zinakuja nyingi mno nashindwa kujua ni ipi sahihi..naomba link mkuu wangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu salama kuna mtu amekutana na changamoto ya halotel usiku pack , jana nimejarbu kwanza wamepandisha bei ni 1500 ile ramadhan offer amna tena alaf speed imedrop adi 0.5m nipo na line ya 4g na inasoma 4g full bar kabla sijanza kutumia iyo usiku park nilikuwa na tumia bundle langu la 4g la elfu 5 gb 7 , zilikuwa zimebaki kama gb 2 zilivoisha iyo speed ika drop kabisa ili tatizo kuna mtu kakutana nalo karibuni

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nilijiunga hiki juzi ila sikupata hiyo changamoto....kwangu spidi ilikuwa kama kawa
 
Habari Mkuu naomba ushauri
Natumia redmi note 7 kama chanzo changu kikuu cha Internet ,
huku nilipo (Kigamboni) zaidi ya voda karibia mitandao yote 4G zao ni za kusuasua mno

Sasa nilifikiria kuagiza router, naomba uniambie ni specs gani muhimu za kuzingatia ili kupata router stable itakayohimili mikiki ya mitandao ya TZ

AU kama kuna chombo kinachoboost 4g kwenye Smartphone unaweza nitajia tafadhali

Zaidi nategemea ushauri na mapendekezo yako mkuu, maana voda vifurushi vyao vinanifirisi
nzuri mkuu ina band 2600 pia ina 2x2 MIMO ambayo itaongeza speed kwa halotel.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakuu salama kuna mtu amekutana na changamoto ya halotel usiku pack , jana nimejarbu kwanza wamepandisha bei ni 1500 ile ramadhan offer amna tena alaf speed imedrop adi 0.5m nipo na line ya 4g na inasoma 4g full bar kabla sijanza kutumia iyo usiku park nilikuwa na tumia bundle langu la 4g la elfu 5 gb 7 , zilikuwa zimebaki kama gb 2 zilivoisha iyo speed ika drop kabisa ili tatizo kuna mtu kakutana nalo karibuni

Sent from my iPhone using JamiiForums
Tatizo la halotel mvua ikiwa inanyesha tu speed yao ya internet inakua chini sana chunguza ilo
 
Back
Top Bottom