Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hii hifanyi kaz now kwa mtandao wa vodacom, airtel,halotel..kwa mbalii tigoo san ,na TTCL ndio iko fresh kwa sasa
hasara zake, INACHEMSHA SIMU
CHAJI KAMA MAJII INANYONYAA
NA PIA SIO STABLE SANA,HASA KWA YALE MASWALA YA KUDOWNLOAD

0745187765 NITAFUTE KAMA UTAHITAJI MAELEKEZOOO
Nyingi mnao promote na kujadili hizi mada za hii kitu ndo mmefanya yajayo yanasikitisha ka block kabisa! N'way kwakua hamjifunzagi kutokana na makosa ya huko nyuma mnataka kuonekana mnajua kila kitu, wahuni tusiopenda show-off tulitafuta backup kwa namna nyingine kabisa ya kitofauti kwa mabasi mawili na tunasafiri kama nzi bure unaelekea mwaka sasa!
 
Mkuu pm kwako kuko wazi??
 
Naskia voda wamerudiaha vifurushi vya usiku, mnaotumia voda ukweli upoje?
Mhh.. Nimeperuzi menu yote na sijaona kama kipo, kama kipo basi kitakuwepo kwa wateja pendwa wachache.

Dah, Voda tupo tu kwa sababu spidi YAKE - ukiondoa Fibre, hakuna mpinzani kwa Tanzania lakini bei zao sigh.
 
Internet speed ya Vodacom ni Uhakika, hapa ndo nawapenda japo vifurushi vyao vinahitaji ujipange vizur mfukoni

Airtel walikuaga vizuri saivi wanazingua sana baadhi ya maeneo, Japo vifurushi vyao ni Affordable

Hao wengine naona kawaida kuna siku wanafurahisha siku nyingne wanakwaza sana in Terms of Internet Speed.

Ila Vodacom wapo vizuri sana, hawajawahi kuniangusha
 
Vodacom vifuryshi vya chuo

Kwa siku

b70a1cd29ba7689c33db23b33f6e9a4a.jpg

Kwa wiki

1ef7d9488382e72136121a61f5a08a58.jpg
Ilikuwa zamani! Tangu tumeingi uchumi wa kati bundle uchara tu ndio nakutana nazo!
 
Internet speed ya Vodacom ni Uhakika, hapa ndo nawapenda japo vifurushi vyao vinahitaji ujipange vizur mfukoni

Airtel walikuaga vizuri saivi wanazingua sana baadhi ya maeneo, Japo vifurushi vyao ni Affordable

Hao wengine naona kawaida kuna siku wanafurahisha siku nyingne wanakwaza sana in Terms of Internet Speed.

Ila Vodacom wapo vizuri sana, hawajawahi kuniangusha
Sibishi kabisa kwa hili mkuu, nimezunguka sana mitandao lakini nimeamua kurudi Vodacom; nimerudi nyumbani.

Tigo nilikuwa naitumia Home Internet yao, lakini ipo very tempermental - mara moja inafanya kazi vizuri mara nyingine 4G inashida, mpaka uswitch to 3G ndio utapata atleast 1Mb/s. Mwisho wa siku nikachoka haya matatizo.

Nikanunua line ya Airtel, hapa ndipo nikabugi kabisa, mara mia Tigo; maana hawa jamaa ni headache hata kusteam video WhatsApp ni tatizo, wanakupa double bundle lakini wanafahamu fika kuwa huto zimaliza kwa amani. Nimebidi niiweke kwenye router nisiyoitumua idownload pole pole game zangu - maana piga ua hizo GB 88 walizonipa zitaisha tu.
IMG_20210107_181417.jpg
 
Sibishi kabisa kwa hili mkuu, nimezunguka sana mitandao lakini nimeamua kurudi Vodacom; nimerudi nyumbani.

Tigo nilikuwa naitumia Home Internet yao, lakini ipo very tempermental - mara moja inafanya kazi vizuri mara nyingine 4G inashida, mpaka uswitch to 3G ndio utapata atleast 1Mb/s. Mwisho wa siku nikachoka haya matatizo.

Nikanunua line ya Airtel, hapa ndipo nikabugi kabisa, mara mia Tigo; maana hawa jamaa ni headache hata kusteam video WhatsApp ni tatizo, wanakupa double bundle lakini wanafahamu fika kuwa huto zimaliza kwa amani. Nimebidi niiweke kwenye router nisiyoitumua idownload pole pole game zangu - maana piga ua hizo GB 88 walizonipa zitaisha tu. View attachment 1671060
Nimezurura sana, Nimewakwepa sana Vodacom lakini mwisho wa siku nimegundua mimi na Vodacom ni dam dam😅 Ila vifurushi vyao dah🤦🏽‍♂️

Vodacom popote mlipo sikieni kilio chetu, Mnafanya vizuri sana lakini tunaomba mpunguze gharama... Tunawapenda sana lakini tunaomba mpunguze gharama
 
Nimezurura sana, Nimewakwepa sana Vodacom lakini mwisho wa siku nimegundua mimi na Vodacom ni dam dam[emoji28] Ila vifurushi vyao dah[emoji2363]

Vodacom popote mlipo sikieni kilio chetu, Mnafanya vizuri sana lakini tunaomba mpunguze gharama... Tunawapenda sana lakini tunaomba mpunguze gharama
Kifurushi gani cha voda unakitumia kwasasa chenye uafadhari
 
SUPER UNI Tsh.3000 kwa Wiki

GB 1.2
Dakka 250
Message bila kikomo

Kwa speed yao na matumiz yang nikijiunga Asubuh jion napokea message nimebakiwa na MB 200😅 ila watu wanasema ni wizi lakini mimi sijawahi kuuona
Hii menu mbona kwangu haipo?
 
Nimezurura sana, Nimewakwepa sana Vodacom lakini mwisho wa siku nimegundua mimi na Vodacom ni dam dam😅 Ila vifurushi vyao dah🤦🏽‍♂️

Vodacom popote mlipo sikieni kilio chetu, Mnafanya vizuri sana lakini tunaomba mpunguze gharama... Tunawapenda sana lakini tunaomba mpunguze gharama
Kizuri gharama boss
 
Back
Top Bottom