Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wakuu nauza chanel ya Netflix imeunganishwa bando la mwaka mzima ni zile channel wanazopewa staff wa Netflix mlemle so haihitaji kujiunga we utacheki tu movie had uchoke.
Serious Buyer njoo pm na Offa yako
 
Hv TTCL wana line za 4G kweli !?
Nina line yao hapa zaidi ya 30 mins nashusha 500MB ndio nimefika nusu sasa hv.
Nilitaka kununua usiku maana nina mzigo mrefu wa kushusha ila napata wasiwasi na hii kasi yake.
 
Ninatumia line ktk modem ya 4G ila inasoma HSPA+.
Sasa najiuliza aidha shida ni line niliyonunua au ndio huduma zao zipo hv mwendo wa kobe
 
Line zao zote wanazotoa ni 4g kuhusu speed huwa inategemea na eneo,kipindi cha nyuma niliwahi nunua night bundlle yao ilikuwa slow sikuweza download kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninatumia line ktk modem ya 4G ila inasoma HSPA+.
Sasa najiuliza aidha shida ni line niliyonunua au ndio huduma zao zipo hv mwendo wa kobe
Kuna mambo kadhaa
1. Eneo ulipo hakuna 4g ya TTCL
2. Modem yako haina band 1800/2300 ambazo TTCL wanatumia, japo ni ya 4g.
 
Hv TTCL wana line za 4G kweli !?
Nina line yao hapa zaidi ya 30 mins nashusha 500MB ndio nimefika nusu sasa hv.
Nilitaka kununua usiku maana nina mzigo mrefu wa kushusha ila napata wasiwasi na hii kasi yake.
Yategemeana na maeneo uliopo mm niko temeke nna download course za udemy za zaid ya GB 10 na ni chini ya masaa 3 na hyo hyo ttcl
 
Nipo eneo la town kabisa,
Nilipo na city center ni kama 3 Km na mitandao mingine yote natembea na 4G vizuri ila hawa waungwana nashangaa ni mwendo wa HSPA+ tena ya magumashi maana kila mda spidi ya kushusha inarusdi zero na kuanza upya kupanda
 
Swali la nyongeza
Line za TTCL zimeandikwa 4G au zina distinguishing feature yoyote.
Niliyo nayo ni plain na logo yao tuu
 
Nipo eneo la town kabisa,
Nilipo na city center ni kama 3 Km na mitandao mingine yote natembea na 4G vizuri ila hawa waungwana nashangaa ni mwendo wa HSPA+ tena ya magumashi maana kila mda spidi ya kushusha inarusdi zero na kuanza upya kupanda
Ndio shida yao ndio maan niliachana nao niko zangu zantel mtandao wa kijanja kabisa yani sijutii
 
Ni 4G feki haina ishu tumia halotel mkuu au zantel ziko poa sana
Halotel ninayo na inapiga fresh ila tatizo nina mzigo wa maana nataka kushusha na wameondoa kifurushi cha usiku so nilijaribu kufanya compromise.
Leo nimejaribu kutest TTCL ndio nashangaa balaa lake
 
Kaka TTCL bado hawajajipanga haeajui nini wanatak ukitak kujua mtiti mwinhin mtumie mtu mesej kwa ttcl utakuj kuniambia mesej moja ina fail kila saa utarudia had mara tano siwez kutumia ttcl hata wafany mb rahis kias gan siwez kuwa mzalendo uku najiumiza zantel ni jibu la matatiz yote nilichelew sana kutumia huu mtandao
 
Hahahaha.
Pole sana aisee na shukrani sana kwa ushauri.
 
Zantel wana vifurushi gani vya night au offer yoyote ya bulk download!?
Walikuwa nacho ila na wao wametoa mkuu wsngu nikushauri kitu kama unataka mtandao weny unafuu sio lazima bando za usiku zantel wako vizur hat halotel ila kam unatak mtandao utaotumia huku unanungunika kila siku bas tumi ttcl utakuja kuleta mrejesho hapa mimi natumia san netflix kucheki movies ila sina budi huwa najiunga zantel elfu kumi GB 10 kwa mwez mzima
 
Back
Top Bottom