donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Speed??TTCL. 2500 GB 9 usiku 1GB mchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Speed??TTCL. 2500 GB 9 usiku 1GB mchana
Ninatumia line ktk modem ya 4G ila inasoma HSPA+.Hv TTCL wana line za 4G kweli !?
Nina line yao hapa zaidi ya 30 mins nashusha 500MB ndio nimefika nusu sasa hv.
Nilitaka kununua usiku maana nina mzigo mrefu wa kushusha ila napata wasiwasi na hii kasi yake.
Line zao zote wanazotoa ni 4g kuhusu speed huwa inategemea na eneo,kipindi cha nyuma niliwahi nunua night bundlle yao ilikuwa slow sikuweza download kituHv TTCL wana line za 4G kweli !?
Nina line yao hapa zaidi ya 30 mins nashusha 500MB ndio nimefika nusu sasa hv.
Nilitaka kununua usiku maana nina mzigo mrefu wa kushusha ila napata wasiwasi na hii kasi yake.
Kuna mambo kadhaaNinatumia line ktk modem ya 4G ila inasoma HSPA+.
Sasa najiuliza aidha shida ni line niliyonunua au ndio huduma zao zipo hv mwendo wa kobe
Yategemeana na maeneo uliopo mm niko temeke nna download course za udemy za zaid ya GB 10 na ni chini ya masaa 3 na hyo hyo ttclHv TTCL wana line za 4G kweli !?
Nina line yao hapa zaidi ya 30 mins nashusha 500MB ndio nimefika nusu sasa hv.
Nilitaka kununua usiku maana nina mzigo mrefu wa kushusha ila napata wasiwasi na hii kasi yake.
Hv kumbe wana-operate ktk single band ??Kuna mambo kadhaa
1. Eneo ulipo hakuna 4g ya TTCL
2. Modem yako haina band 1800/2300 ambazo TTCL wanatumia, japo ni ya 4g.
Nipo eneo la town kabisa,Yategemeana na maeneo uliopo mm niko temeke nna download course za udemy za zaid ya GB 10 na ni chini ya masaa 3 na hyo hyo ttcl
Ndio shida yao ndio maan niliachana nao niko zangu zantel mtandao wa kijanja kabisa yani sijutiiNipo eneo la town kabisa,
Nilipo na city center ni kama 3 Km na mitandao mingine yote natembea na 4G vizuri ila hawa waungwana nashangaa ni mwendo wa HSPA+ tena ya magumashi maana kila mda spidi ya kushusha inarusdi zero na kuanza upya kupanda
Ni 4G feki haina ishu tumia halotel mkuu au zantel ziko poa sanaSwali la nyongeza
Line za TTCL zimeandikwa 4G au zina distinguishing feature yoyote.
Niliyo nayo ni plain na logo yao tuu
Halotel ninayo na inapiga fresh ila tatizo nina mzigo wa maana nataka kushusha na wameondoa kifurushi cha usiku so nilijaribu kufanya compromise.Ni 4G feki haina ishu tumia halotel mkuu au zantel ziko poa sana
Zantel wana vifurushi gani vya night au offer yoyote ya bulk download!?Ndio shida yao ndio maan niliachana nao niko zangu zantel mtandao wa kijanja kabisa yani sijutii
Hawana line za 3g kwa uelewa wangu, Wali launch 4g moja kwa moja.Swali la nyongeza
Line za TTCL zimeandikwa 4G au zina distinguishing feature yoyote.
Niliyo nayo ni plain na logo yao tuu
Kaka TTCL bado hawajajipanga haeajui nini wanatak ukitak kujua mtiti mwinhin mtumie mtu mesej kwa ttcl utakuj kuniambia mesej moja ina fail kila saa utarudia had mara tano siwez kutumia ttcl hata wafany mb rahis kias gan siwez kuwa mzalendo uku najiumiza zantel ni jibu la matatiz yote nilichelew sana kutumia huu mtandaoHalotel ninayo na inapiga fresh ila tatizo nina mzigo wa maana nataka kushusha na wameondoa kifurushi cha usiku so nilijaribu kufanya compromise.
Leo nimejaribu kutest TTCL ndio nashangaa balaa lake
bando la mwaka mzima ni zile channel wanazopewa staff wa Netflix "mlemle"
Yeah! Na mm nilidhania hivyo hivyo japo kwa spidi ninayoipata napoteza imani nao.Hawana line za 3g kwa uelewa wangu, Wali launch 4g moja kwa moja.
Hahahaha.Kaka TTCL bado hawajajipanga haeajui nini wanatak ukitak kujua mtiti mwinhin mtumie mtu mesej kwa ttcl utakuj kuniambia mesej moja ina fail kila saa utarudia had mara tano siwez kutumia ttcl hata wafany mb rahis kias gan siwez kuwa mzalendo uku najiumiza zantel ni jibu la matatiz yote nilichelew sana kutumia huu mtandao
Walikuwa nacho ila na wao wametoa mkuu wsngu nikushauri kitu kama unataka mtandao weny unafuu sio lazima bando za usiku zantel wako vizur hat halotel ila kam unatak mtandao utaotumia huku unanungunika kila siku bas tumi ttcl utakuja kuleta mrejesho hapa mimi natumia san netflix kucheki movies ila sina budi huwa najiunga zantel elfu kumi GB 10 kwa mwez mzimaZantel wana vifurushi gani vya night au offer yoyote ya bulk download!?