Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
- Thread starter
- #3,261
Huyo mdau niliem reply Wasiliana nae.Kinapatikana vipi iko kifurushi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mdau niliem reply Wasiliana nae.Kinapatikana vipi iko kifurushi?
Kumbe kuna matapeli eeenhhHapana situmii hizo, kuwa tu makini na matapeli.
Gb 1 haitoboi siku 2 kudadeki ...maisha magumu sana .. kila siku kuunga bandoWazee voda recently naona kama wamezidi yaani mpaka Twitter 500Mb hazimalizi dak 15 siwaelewi kabisa
Internet speed ya kinyonga.....hahahahahaKwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
hiyo ofa inaitwaje?voda ndo hapo huwa naikubali 3gb siku 5 na kwa speed nzuri ajabu.
. Hakuna kitu kama jicho!!nimejaribu kubonyeza hiyo menyu ya *149*03# mara kibao lakin vifurushi vyangu havijabadilika ila sikati tamaa nitakomaa hadi kieleweke
Usiwasifie, sio kila mahaliHalotel kama hawatabadilika huko mbeleni kwa kifupi internet yao iko vizuri
Pamoja mkuuKile cha mwaka? Ndio nimetumia miezi 2 sasa kipo fresh,
Bei gani?TUWASILIANE KWA ANAYEHITAJI UNLIMITED INTERNET YA VODA KWA MIEZI 3
MAKE SURE UNA ANDROID NA KUMBUKA HAKUNA KU SHARE HOTSPOTS
Kama ni mkazi wa Unguja sikushauri ujiunge na kifurushi chochote cha mbs za halotel, speed yao ni ya kobeAsante kwa mrejesho chief! Ila mwamba atabaki kuwa halotel, kwa Tsh 20,000 Unapata GB50 na dakika bila kikomo mitandao yote na hiyo ni kwa mwezi mzima yani!
Sidhani kama itatokea ofa kama hii
Airtel wamekuwa wezi, nmeitupa line yao leo nmerudi voda nione itakuwaje, 1gb 3days per 1thousand.Kwa nin nihame AIRTEL...[emoji780]hatupimi bando for SURE
Hiyo ni app inaitwa psyphon nadhani ni km VPN unai download playstore but speed yake bora kobe ana afadhali lkn pia uwe unatumia halotel zen mwishowe jiandae kuharibu line yako over.Hatafu kuna hii nyingime ya kutumia internet bure je umesha pata maujuzi yake ?? chief_ mkwawa
Mkuu km itakupendeza naomba unipe muongozo jinsi ya ku set data flow kwenye simu yng mana nimekimbia Airtel nmekuja voda bado data zinakimbia sn, nmejiunga gb 1 cja download chochote wala kuingia popote zaidi ya Jf lkn gb 1 imebaki mb 500 for only two hours.Hapana situmii hizo, kuwa tu makini na matapeli.
Kwa speed/kifurushi ratio Halotel wapo vizuri, 3GB kwa 3000 wiki mbili.Mkuu km itakupendeza naomba unipe muongozo jinsi ya ku set data flow kwenye simu yng mana nimekimbia Airtel nmekuja voda bado data zinakimbia sn, nmejiunga gb 1 cja download chochote wala kuingia popote zaidi ya Jf lkn gb 1 imebaki mb 500 for only two hours.
Km tatizo ni mtandao basi nishauri niende wapi, je ttcl vp, msaada mkuu.
Hapana niko Dar, kasi yao ina uafadhali kiasiKama ni mkazi wa Unguja sikushauri ujiunge na kifurushi chochote cha mbs za halotel, speed yao ni ya kobe