nyamwingi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 944
- 872
YesHii imekaa njema sana, je kwa line zote za Zantel?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
YesHii imekaa njema sana, je kwa line zote za Zantel?
Mbona bado ni kandamizi na ghali.Umeona vya tigo?Mambo iko hukuView attachment 1901009
[emoji12]Voda hovyo sn
Hii ni package gani mkuu?
Mambo yamezidi kuwa ovyo !
TTCL baada ya kuiondoa toboa tobo wameona haitoshi sasa wameiondoa na "bandika bandua"
kweli nyumbani kumedoda.
Mwenye option ya data bundle iliyoshiba kwa reasonable price Masada tafadhali

Hii hapa juuu ni halotel vifurushi vya wikiWakuu mi huwa na jiunga na Kifurushi cha GB 30 kwa 35,000. Mtandao ni voda.
Imekaaje hii...???
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Hapa Voda wamenifurahisha sana1GB kwa 1000 siku 3View attachment 1907914
Vifurushi vya voda vina badilika badika sana leo unakuta vizuri ukijiunga mara 3 au 5 wanavibadilisha voda wanakutamanisha hasa laini ikiwa mpya ama ukiwa hujaweka vocha au kujiunga vifurushi kwa mda mrefuKaribun Voda kumenogaView attachment 1908240
Hivyo ni sawa na vya Tigo "size yako" unachotakiwa mtu ni kuwa tu na line za Kutosha, line 1 ya internet na 2 main line. Unahama mtandao wa Internet kulingana na uzuri wa vifurushi.Vifurushi vya voda vina badilika badika sana leo unakuta vizuri ukijiunga mara 3 au 5 wanavibadilisha voda wanakutamanisha hasa laini ikiwa mpya ama ukiwa hujaweka vocha au kujiunga vifurushi kwa mda mrefu
Harafu vifurushi vyao havieleweki unakuta huyu ana vifurushi hivi na mwingine vile yaani hawana
Iwapo matumizi yako ni makubwa kwa WIKIdata bundle iliyoshiba kwa reasonable price Masada tafadhali
Ndicho nilichokifanya.line za Kutosha, line 1 ya internet na 2 main line. Unahama mtandao wa Internet kulingana na uzuri wa vifurushi.
Kuna muda huwa najiuliza hivi hawa jamaa huwa wanafikiri kwa akili hizi hizi tulizonazo au wenzetu wana akili tofauti na tulizonazo.. yaani hata hawashtuki..Mambo yamezidi kuwa ovyo !
TTCL baada ya kuiondoa toboa tobo wameona haitoshi sasa wameiondoa na "bandika bandua"
kweli nyumbani kumedoda.
Mwenye option ya data bundle iliyoshiba kwa reasonable price Masada tafadhali