Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ngoja tusubir vilio mkuu.

Mi nashangaa watu wanakuja kichwa kichwa tu yaan watalia mpaka washangae yan mtu anakutumia screenshot ya message kutoka voda afu ina sehemu ya kureply,,,[emoji848] hv msg kutoka voda huwa znakuwa na sehem ya kurep
 
Sihami Tigo.. never ever😂😂😂

Ukihitaji hilo bando andika neno BURE tuma kwenda namba 15166 wahi linataka ku expire😂😂😂

NB: UKIHITAJI KIWANJA MWANZA AMA Dar tutafutane namba yangu hio hapo kwenye salio😅😅😅
Screenshot_20211111-054241.png
Screenshot_20211111-054202.png
 
Back
Top Bottom