Mkuu hii ofa naweza kuipata?OFA YA
WEEKEND
TIGO GB72
BEI 12000 TU
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hii ofa naweza kuipata?OFA YA
WEEKEND
TIGO GB72
BEI 12000 TU
Ndiyo njoo in-boxMkuu hii ofa naweza kuipata?
Tapeli huyoSasa wewe unaunga watu voda lakini mwenyewe unatumia zantel
Mkuu usimuhukumi usiemjuaTapeli huyo
Huyo tapeli maana matapeli wanakuwaga na namba nyingi nyingi .Sasa wewe unaunga watu voda lakini mwenyewe unatumia zantel
Wewe ni 45k lakini kuna jamaa anaunga kwa elfu 30 tu
Tutakua tumetofautiana source mkuuWewe ni 45k lakini kuna jamaa anaunga kwa elfu 30 tu
Peleka ujinga hukoUtachelewa sana kupata mafanikio mkuu,jinsi unavyozamisha mashine yako kwenye shimo ambalo hujui undani wake,ndo jinsi unavyotakiwa kuzama na kuchangamkia fursa.
Kwakuwa Chief kathibitidha uko vzr nimeondoa mashaka na wewe ila kuna jamaa hapo juu anatumia nguvu kutuaminisha anatoa hudumaNguvu ipi Boss?
Unfortunately ofa imeexpire mkuuMalipo baada, kabla au vyovyote mkuu.
Poa poaMwezi hizo
Mi nashangaa watu wanakuja kichwa kichwa tu yaan watalia mpaka washangae yan mtu anakutumia screenshot ya message kutoka voda afu ina sehemu ya kureply,,,[emoji848] hv msg kutoka voda huwa znakuwa na sehem ya kurep
Mimi natumia tayar,wewe endelea kukaa kwa shemeji yako usubiri akununulie na vifurushi.P
Peleka ujinga huko
Sihami Tigo.. never ever😂😂😂
Ukihitaji hilo bando andika neno BURE tuma kwenda namba 15166 wahi linataka ku expire😂😂😂
NB: UKIHITAJI KIWANJA MWANZA AMA Dar tutafutane namba yangu hio hapo kwenye salio😅😅😅
View attachment 2006484View attachment 2006485
Wakikujibu nitagGuys mnao tumia airtel vipi night bundle ipo?
Hamna tenaWakikujibu nitag
AU kama yupo mwenye jibu anitag asee tunapitwa na seasons na movies kali aseee.
Tulizoea kitonga cha 10gb kwa buku jero siku 3 sasa pangupakavu nitilie mchuzi.
onesha screenshotNipe maelekezo. Natuma haendi
Unatakiwa uwe umejiunga kifurushi chochote?
onesha screenshot