Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Free call tigo kwenda mitandao yote ipo kwa miaka 2 nipm nikuunge Bei inazungumzika,[emoji118][emoji118][emoji118][emoji118][emoji118]malipo baada ya kazi
Mkuu naendelea kuenjoy huduma yako ya free call na gb leo ndo kitajirudia cha gb nasubir masaa tu hv ni lazima kuwe na salio la Tsh 1000 linakuwa kweny tigo pesa au salio la kawaida ??
 
Mkuu naendelea kuenjoy huduma yako ya free call na gb leo ndo kitajirudia cha gb nasubir masaa tu hv ni lazima kuwe na salio la Tsh 1000 linakuwa kweny tigo pesa au salio la kawaida ??
Vocha ili mradi tu uwe umeshatumia siyo lazima iwe siku hyo yaan Kama umeshaweka vocha siku nyingne umeshamaliza mkuu subr mda tu utapata GB zako
 
Back
Top Bottom