Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Jamani hawa moderator wameondoa uzi wetu au maana sioni comment siku ya tano kweli wakati uzi ulikua wa moto[mention]Mr.Kiuno [/mention]
 
[emoji116]
Screenshot_20211211-094526_1.jpg
 
free internet hio kwa watu wa TIGO.
Pia airtel na voda mnawwza jaribu kama itaweza. Inaitwa EC TUNNEL PRO. HAIPO PLAY STORE.. Download kutoka nje ya Ps.

Internet yake ni ya matumizi ya kawaida tu haina nguvu.

Igilizia hizo setting hapo, haina haja ya ku import hat file... Add time mpaka ifike masaa 16 ili uwe na UHURU mpana wa kuitumia

SIHITAJI WATU PM, maswali yote yaulizwe hapa hapa kwa faida ya wote..
Screenshot_20220314-135342.png
 
free internet hio kwa watu wa TIGO.
Pia airtel na voda mnawwza jaribu kama itaweza. Inaitwa EC TUNNEL PRO. HAIPO PLAY STORE.. Download kutoka nje ya Ps.

Internet yake ni ya matumizi ya kawaida tu haina nguvu.

Igilizia hizo setting hapo, haina haja ya ku import hat file... Add time mpaka ifike masaa 16 ili uwe na UHURU mpana wa kuitumia

SIHITAJI WATU PM, maswali yote yaulizwe hapa hapa kwa faida ya wote..View attachment 2150049
Hapa natumiwa ujumbe sina salio. Ila naingia jf, youtube.. insta ndio msala😃😃
Screenshot_20220314-135530.png
 
free internet hio kwa watu wa TIGO.
Pia airtel na voda mnawwza jaribu kama itaweza. Inaitwa EC TUNNEL PRO. HAIPO PLAY STORE.. Download kutoka nje ya Ps.

Internet yake ni ya matumizi ya kawaida tu haina nguvu.

Igilizia hizo setting hapo, haina haja ya ku import hat file... Add time mpaka ifike masaa 16 ili uwe na UHURU mpana wa kuitumia

SIHITAJI WATU PM, maswali yote yaulizwe hapa hapa kwa faida ya wote..View attachment 2150049
Hio hapo ec tunnel
Screenshot_20220314-143405.png
 
Back
Top Bottom