Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unabofya kwenye kiduara kama cha power button kwenye hiyo app au kwenye setting other network utakuta VpnNimefeli
Ngoma inagomaDisconnect halafu halafu piga screenshot nione ulivyofanya seeting ndugu yangu. Yawezekana hujaset sawa kama hivi..
Twende pole pole tu tutafanikiwa.
Hakikisha kwanza line yako ina data ili tuztumie ku add time
View attachment 2150978
so unaweza endelea tumia unavyojisikia mpk mwezi uishe?hapana ukimaliza 37Gb kabla ya mwezi unapata network ya kawaida slow.
MIM apps tu install inagomaNimefanya yote Ila bado internet imegoma kuaccess ktk simu yangu
App hii inahesabu MB unazotumia au inakufanya upate huduma ya intaneti bila malipo?Sina tatizo na mtu mkuu hapa uliupiga mwingi sana naweka masaa 40 nakaa hata siku 3 siangalii ads haha. View attachment 2150287
App hii inahesabu MB unazotumia au inakufanya upate huduma ya intaneti bila malipo?Nimefanya yote Ila bado internet imegoma kuaccess ktk simu yangu
App hii inahesabu MB unazotumia au inakufanya upate huduma ya intaneti bila malipo?Unabofya kwenye kiduara kama cha power button kwenye hiyo app au kwenye setting other network utakuta Vpn
Watu wamesogezewa kifaa cha kuhesabia MB wanazotumia kwa masaa husiku.Hapa ukitumia laini yenye bando licha ya kuwa na hayo masaa,Bando Lina tumika au vpn ndiyo inayo tumika?
Unaona hapa kwangu iko kijani tupu? means nimeunganisha na data ishaanza kutumika.Ngoma inagoma
Inaishia apo2View attachment 2151435
Kiben 10 soma hioUnaona hapa kwangu iko kijani tupu? means nimeunganisha na data ishaanza kutumika.
kwa hio, bonyeza add time, watch free video, watakupa 4 hours.. ukipenda watch mara nyingi zaidi ili upewe masaa mengi zaidi.
baada ya hapo bonyeza hilo tufe jekundu, litajiunga na kuwa kijana kama mimi hapa kwangu.
UKIZIMA DATA, HAKIKISHA NA HUKU UNAZIMA PIA ILI KUOKOA MUDA.
UKIRUDI TENA WASHA DATA WASHA NA HUKU...
JOB DONE
View attachment 2151893
Unapata mb bila malipo au malipo ni kuangalia ads tu ambapo kila ads moja unapewa masaa ma4 ya bure.App hii inahesabu MB unazotumia au inakufanya upate huduma ya intaneti bila malipo?
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Umesikia wapi, kitu hiko hapo hamna bando na simu inaniambia hivo sina bando ila nimewasha mtambo hapo ndo natumia hapa.Watu wamesogezewa kifaa cha kuhesabia MB wanazotumia kwa masaa husiku.
Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
Mkuu unapaswa kunipa buku 3 ya shukrani😅😅😅Umesikia wapi, kitu hiko hapo hamna bando na simu inaniambia hivo sina bando ila nimewasha mtambo hapo ndo natumia hapa. View attachment 2151928
[emoji38][emoji38] kwakweli maana inanisaidia sana mkuu.Mkuu unapaswa kunipa buku 3 ya shukrani[emoji28][emoji28][emoji28]
nimekusanua na umeenjoi sana ujue
Mimi nikigusa hapo pekundu wakati nimewasha data panabadilika na kuwa kijani na vpn inaunganishwa, ila nikizima data na vpn inakata, yaani inazima na mtandao hausomi.. je nakosea wapi?Unaona hapa kwangu iko kijani tupu? means nimeunganisha na data ishaanza kutumika.
kwa hio, bonyeza add time, watch free video, watakupa 4 hours.. ukipenda watch mara nyingi zaidi ili upewe masaa mengi zaidi.
baada ya hapo bonyeza hilo tufe jekundu, litajiunga na kuwa kijana kama mimi hapa kwangu.
UKIZIMA DATA, HAKIKISHA NA HUKU UNAZIMA PIA ILI KUOKOA MUDA.
UKIRUDI TENA WASHA DATA WASHA NA HUKU...
JOB DONE
View attachment 2151893
Endelea kufurahia show kali..[emoji38][emoji38] kwakweli maana inanisaidia sana mkuu.
Hutakiwi kuzima data mkuu. Hao wanapaswa waende pamoja. Cha msingi line uliyowashia data iwe zero mb.Mimi nikigusa hapo pekundu wakati nimewasha data panabadilika na kuwa kijani na vpn inaunganishwa, ila nikizima data na vpn inakata, yaani inazima na mtandao hausomi.. je nakosea wapi?