Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Nieleweshe zaid hii ya halotel
Stage ya kwanza : Download Psiphon pro app kwenye play store

2 : Server Weka belgium ina kuna wadau wanasema Japan wapo vzuri
Screenshot_20220327_102444.jpg

Nb:Spidi ya kobe wkt mwingine inastop Mimi nilikuwa natumia kwa wasap tu ili nisipitwe na mambo muhimu nikiwa sina bando

Kuna watu wanaijulia baadhi ya setting zake nyingine ambazo ni bora na wanakimbiza mpk insta na YouTube.
 
Siasa mbaya sana
ukisha select hizo bonyeza add ujiongezee mb baada ya kuangalia matangazo.
View attachment 2165672

baada ya kubonyeza add,
vitatokea vitu hivi hapa vitatu.
hapa ndio kwenye kitovu cha hii app maana ndio tunapatia hadi gb 40.
View attachment 2165673
Twende pole pole
1. 20-100mb... hiki ni kipengele cha daily check in na hubonyezwa mara 1 tu kwa siku. Wanatoa mb 50, 75 na kuendelea kadri unavyoingia kila siku

2. 25-100mb. Hapa napo pabonyeze utazame matangazo utapewa mb kibao tazama kadri uwezavyo

3.. 50mb. Hapa wanakupa mb 50 mara 15. Tazama video za matangazo mara 15 na utapata mb 750.

(Jichotee zote hizo utaona zinaongezeka juu pale)

4.. Kupata hadi 1gb mpaka ualike mtu na adownload hio na kuinstall unapata 1gb kwa kila mjuba utakaemualika na kudownload
Apo no 4 naona inagoma
Nimeshare kwa wajuba wawili na wamedowload na kuinstall napo hazijaja
 
Stage ya kwanza : Download Psiphon pro app kwenye play store

2 : Server Weka belgium ina kuna wadau wanasema Japan wapo vzuriView attachment 2165725
Nb:Spidi ya kobe wkt mwingine inastop Mimi nilikuwa natumia kwa wasap tu ili nisipitwe na mambo muhimu nikiwa sina bando

Kuna watu wanaijulia baadhi ya setting zake nyingine ambazo ni bora na wanakimbiza mpk insta na YouTube.
Thanks
 
Ulishare kwa njia ipi mkuu
Mmi nilishare kwa kitumia whatsup
Kwa kutumia wasap ,zanilibonyeza walipoandika add kwenye Sky app then nikaclick kwenye invite nikachagua kupitia wasap mdau aka insta nikapata maunyama km hayo
IMG_20220327_113647.jpg
 
Back
Top Bottom