Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Mimi sina roho mbaya ila mambo kama haya ya VPN ukishare na wabongo au public basi tegemeeni kupigwa pini faster.
Kulikuwa na ile stark VPN ilikuwa ni kuteleza daily mb600 tena niikuwa nakimbiza kwa pc full speed, lakini kuna watu wakaanza kuuza na kuna mwingine kaenda kuwaatarifu kabisa wahusika mwishowe wote tukafungiwa mlango kwa nje.

Sometimes ni bora kufuatana pm kwa mwenye shida na kucheza nyuma ya public servers ile kininja full stealth watashangaa kuna mashambulizi lakini wasijue yanatokea wapi na kama kufunga itachukua muda.

Mfano ona huyo jamaa eson jeremy kaenda direct kuwauliza tigo maswala ya huduma za VPN wakati ni wazi hizo vpn ni illegal, dude?
Tunao tumia VPN tunaseleleka kwa kweli
 
Wabongo hawafai, nikiikumbuka Stark vpn napata mpaka hasira, miaka mitatu tulikuwa tunainjoi mwendo ni kimya kimya, kuna kundi hapa duniani limeumbwa lisijue siri zozote ( kinachoendelea) maana fridge hazigandishi
Na ni hivi hakunaga masikini mwenye siri hapa duniani
 
Back
Top Bottom