Tz mbongo
JF-Expert Member
- Mar 12, 2015
- 13,332
- 7,351
Yani kifurushi cha mwezi kinadumu kwa siku 14 tu?Unavimba utakavyo ila tatizo ni siku 14 tu ndani mwezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani kifurushi cha mwezi kinadumu kwa siku 14 tu?Unavimba utakavyo ila tatizo ni siku 14 tu ndani mwezi
Ndiyo hivyoYani kifurushi cha mwezi kinadumu kwa siku 14 tu?
Ndio vyote vipo hivyo kumbe au maana mie sivielewi hivyo vifurushi. Kuna mwengine huko Instar nae anatangaza hiviNdiyo hivyo
Photoshop unapigwa sasa hiviNdio vyote vipo hivyo kumbe au maana mie sivielewi hivyo vifurushi. Kuna mwengine huko Instar nae anatangaza hiviView attachment 2184954
Duh! Ndio maana sijawahi kuamini hivyo vifurushi.Photoshop unapigwa sasa hivi
Hii wewe umetoa wapi ?Ndio vyote vipo hivyo kumbe au maana mie sivielewi hivyo vifurushi. Kuna mwengine huko Instar nae anatangaza hiviView attachment 2184954
Hivi unaweza kuunga kwa mara ya pili ata kama zinakaa sku 14, it's okeyVipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:
GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000
Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=
Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000
Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000
TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=
Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .
Wire tun mkuuHii inAfanya kazi ipi..?
TigoLain gn
Hapo ni kucheza na setting tuSlow San unatumia sever ip
Vipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:
GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000
Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=
Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000
Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000
TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=
Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .
Za voda hamna?Vipo mkuu :

Unaungaje hiiVipo mkuu :

Msaada pleaseHapo ni kucheza na setting tu
Kweli mkuuAirtel kaz kwenuView attachment 2181613
Mkuu ukifanikiwq kufika nistueDuka lake linaitwaje mkuu
Kufanikiwa nn mkuiMkuu ukifanikiwq kufika nistue
Huko alikokuelekeza chief mkwawa agreyKufanikiwa nn mkui