Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ndiyo hivyo
Ndio vyote vipo hivyo kumbe au maana mie sivielewi hivyo vifurushi. Kuna mwengine huko Instar nae anatangaza hivi
IMG_20220412_145101_682.jpg
 
Vipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:

GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000

Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=

Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000

Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000

TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=

Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .
Hivi unaweza kuunga kwa mara ya pili ata kama zinakaa sku 14, it's okey

Mwanzo umeniunganisha cha gb6

Nataka niunge tena, is it possible?
 
Vipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:

GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000

Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=

Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000

Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000

TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=

Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .

Hii free call ni mitandao yote mkuu
 
Vipo mkuu :
TIGO GB's ZILIZOPO:

GB120 kila mwezi gb10 BEI 30,000

Gb 96 kila mwezi GB 8 kwa 25,000/=

Gb78 kila mwez gb6.5 Bei 25,000

Gb66 Kila mwezi Gb5.5 Bei 15,000

TIGO FREE CALL KWA MIAKA 3 IPO BEI 35,000/=

Zipooo Zote ni Za mwaka Mmoja . Zinakamilika Kama upepo zinapita Ndani ya Dakika Tano .
Za voda hamna?
 
Unaungaje hii
 
Back
Top Bottom