Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wa.link
Hapa umemuunga nani?![]()
Share on WhatsApp
WhatsApp Messenger: More than 2 billion people in over 180 countries use WhatsApp to stay in touch with friends and family, anytime and anywhere. WhatsApp is free and offers simple, secure, reliable messaging and calling, available on phones all over the world.wa.link
Click [emoji115]View attachment 2407473
jichanganye uone..[emoji23][emoji23]Hapa umemuunga nani?
Duuhjichanganye uone..[emoji23][emoji23]
Kuna yeyote ali subscribe kwa huyu mwamba?
hiyo ni ndoanoKuna yeyote ali subscribe kwa huyu mwamba?
Prepaid.Kuna yeyote ali subscribe kwa huyu mwamba?
Pole sanaPrepaid.
Noo sisahau machungu aliyonipa huyu mwamba @mr kiuno
Kapiga pesa afu kifurushi hakijamaliza hata mwezi na pesa kagoma kurudisha.
Naleta mrejesho..
Hapa kuna watakaopigwa soonNaleta mrejesho..
Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.
Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz
Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.
Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..
Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.
Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...
Hizo zingine zina walakini.
Mwenye masikio na asikie.
When a deal is too good............View attachment 2409028View attachment 2409029
Kuna yeyote ali subscribe kwa huyu mwamba?
huyu jamaa ni scammer narudia tena mwenye masikio na asikie ambaye hana akaazime hata kwa jirani...Naleta mrejesho..
Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.
Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz
Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.
Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..
Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.
Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...
Hizo zingine zina walakini.
Mwenye masikio na asikie.
When a deal is too good............View attachment 2409028View attachment 2409029
ulimpata insta wapi wakati ni wewe mwenyewe unajifanya kuwa kuna mtu anaunga kumbe unacheza mchezo wewe mwenyewe [emoji706][emoji706][emoji706]Me nlimpata insta IlA siku nikipata hela nyingi nitajaribu
Haya powaulimpata insta wapi wakati ni wewe mwenyewe unajifanya kuwa kuna mtu anaunga kumbe unacheza mchezo wewe mwenyewe [emoji706][emoji706][emoji706]
Hiyo line ya mwisho ndo alipofeli, {Tunahack calls na sms }Naleta mrejesho..
Sijasema ni tapeli ila naona kuna dalili sio nzuri kwenye uchunguzi wangu.
Huyu ndugu yetu yuko na account uko insta inaitwa offer.bundle.tz
Kwenye hii account kuna post yake ya juzi,
Ikionesha kuna good reviews zaidi ya kumi na zote ni nzuri,wanampongeza.
Ila ikiingia kwenye account za hao wateja wake,
Unakuta followers 0, mwingine ana wa5,mwingine ana 20 na huyo ndio mwenye wengi..
Kwenye hio post hakuna hata mmoja anayeuliza taratibu za kuungwa,wote ni kushukuru na kusifia na kuomba kuongezwa.
Post yake ya mwisho,nimeona ni dada mmoja tu akiuliza kifurushi cha GB 90 ni bei gani? Na kaomba aunganishwe.
Huyu dada pekee ndie mwenye followers wengi.Huyu peke yake ndio mwenye account sahihi...
Hizo zingine zina walakini.
Mwenye masikio na asikie.
When a deal is too good............View attachment 2409028View attachment 2409029
Ametengeneza account nyingi,Hiyo line ya mwisho ndo alipofeli, {Tunahack calls na sms }
Ngoja nikusaidie mkuu na Wana jf hii post iwasaidie huyu jamaa ni TAPELI mkubwa mm nimefwamtilia in deep (kwa undani) na haungi vifurushi ngooo zaidi mtapigwa tu helaNaleta mrejesho..