Smart Guy
JF-Expert Member
- Dec 19, 2016
- 6,808
- 6,934
Na mimi nasubiri piabuku kwa muda gani? siku wiki au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi nasubiri piabuku kwa muda gani? siku wiki au?
Hizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakatashida ya izi bando nilipie 15000 halafu iwe imeenda bure maana kila mwisho wa mwezi tena natakiwa kulipia huduma ya bando yaan mfano mimekupa 15000 umeniinga mfumo huo wa pre paid nikiumia mwisho wa mwezi tigo wanataka chao ni kama 15000 yangu imeliwa bure
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Bei gani fileTTCL.
Tsh. 5,000 kwa Mwezi.Bei gani file
Upo sahihi kabsaa Mr kiuno aliuniunga lakin baadaye ilipotea tu nikamchek akaniambia mambo magumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakata
Hizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakata
Kuwa na amani mkuu,huduma hii wanatoa wao wenyewe tigo.Sio mtu binafsi,hata mfumonwa ulipiaji unalipia tigo wao wenyewe.piga 100 uulize tigo kuhusu hiyo kitu.shida ya izi bando nilipie 15000 halafu iwe imeenda bure maana kila mwisho wa mwezi tena natakiwa kulipia huduma ya bando yaan mfano mimekupa 15000 umeniinga mfumo huo wa pre paid nikiumia mwisho wa mwezi tigo wanataka chao ni kama 15000 yangu imeliwa bure
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
sawa sa mbona hawa waungaji hawapokei simu na wala hawajibu mesejiKuwa na amani mkuu,huduma hii wanatoa wao wenyewe tigo.Sio mtu binafsi,hata mfumonwa ulipiaji unalipia tigo wao wenyewe.piga 100 uulize tigo kuhusu hiyo kitu.
Ulichokitafuta umekipata sasa...tuliwaonya kuleni kimya kimya hamsikii haya washa block host....huku sio kwa kuleta tricks za internet .kitonga kweshney[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]TTCL.
Mimi nataka uniuzie sni host kakaTsh. 5,000 kwa Mwezi.
Acha tu Kaka, wamefungia host ***** Niko nahangaika tu na termux hapa kujaribu working hostsUlichokitafuta umekipata sasa...tuliwaonya kuleni kimya kimya hamsikii haya washa block host....huku sio kwa kuleta tricks za internet .kitonga kweshney[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Washakata server endeleeni kununua vifurushi regularMimi nataka uniuzie sni host kaka
Promo ilikiwa kubwa inaonekana ikawafikia na wahusika wa mtandaoUlichokitafuta umekipata sasa...tuliwaonya kuleni kimya kimya hamsikii haya washa block host....huku sio kwa kuleta tricks za internet .kitonga kweshney[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sina hakika kama nimekuelewa ila kama nilichoelewa ndicho ulichomaanisha ni kwamba hii huduma wanaunganisha tigo wenyewe. Hata malipo unatuma tigoHizi bando sijui kama ni za mazabe au vipi ila najua wengi wakijiunga deal huwa linabumbuluka mwisho linasanuka kama kipindi cha akina Mr. Kiuno na waungaji wenzake deal ilisanuka mabando yakakata
Yes unalipia tigoSina hakika kama nimekuelewa ila kama nilichoelewa ndicho ulichomaanisha ni kwamba hii huduma wanaunganisha tigo wenyewe. Hata malipo unatuma tigo
kwa hizi SME au post paid hazina shida but zile bundle zinazoendana na wewe kununua simu then ikawa hujanunua simu kwa hiyo hamna link kati ya imei no. ya simu mpya na line yako ila umeunganishwa kimazabe as if ulinunua simu mpya hizi at any time huwa zinapotezwa na makampuni ya simu. Kwa kifupi bundle zozote ambazo unakuwa umeunganishwa ilhali mteja hakuwa na hiyo sifa hizo huwa zinakuwa blocked after sometime.Sina hakika kama nimekuelewa ila kama nilichoelewa ndicho ulichomaanisha ni kwamba hii huduma wanaunganisha tigo wenyewe. Hata malipo unatuma tigo
Mr.kiuno amekula pesa yangu hivihivi..kaniunga leo kesho yake likabuma.Upo sahihi kabsaa Mr kiuno aliuniunga lakin baadaye ilipotea tu nikamchek akaniambia mambo magumu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ilikuwa Tigo lamba dume?🤣😭😂 dah wengi wamelizwa but mr. Kiuno si kosa lake maana naye hakujua if inshu itasanuka soonMr.kiuno amekula pesa yangu hivihivi..kaniunga leo kesho yake likabuma.
Sent from my SM-G975U using JamiiForums mobile app