Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Yap Voda wana Supakasi za aina mbili.Hao ni Voda?
4G na 5G
In case haupo kwenye location inayo support 5G basi utapewa hiyo ya 115K ambayo ni 20Mbps
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yap Voda wana Supakasi za aina mbili.Hao ni Voda?
Sizani mbona kwenye simu Voda inashika 5g Ili eneo langu au Kuna utofauti wa simu na router?Yap Voda wana Supakasi za aina mbili.
4G na 5G
In case haupo kwenye location inayo support 5G basi utapewa hiyo ya 115K ambayo ni 20Mbps
Inawezekana maeneo yako kuna 5G access ya vodaSizani mbona kwenye simu Voda inashika 5g Ili eneo langu au Kuna utofauti wa simu na router?
Na hicho kifurushi Cha 5g kinaanzia bei gan?
Yeah nilishawah ona mtu anatumia so Sina uhakika sanaaInawezekana maeneo yako kuna 5G access ya voda
Airtel bado hawajafika
Mkuu hao Voda nao jau nimeongea nao huduma Yao Kila mwisho wa mwezi unatakiwa kulipia yhn hawana huduma ya free pain ni postpaid bado changamoto sanaa kama ikitokea tharura mwez huu hulipi basi unawapigia simu unawaambia Tena iwe issue ya maana ndio wanaweza kukuelewa[emoji1751]Inawezekana maeneo yako kuna 5G access ya voda
Airtel bado hawajafika
Wanaitwa net solution...inamaana wameingia ubia na ttcl au?Sijui kama sio TTCL hii
Download play store kisha fuata steps ,utaingiza namba za simu watakuwa verification code ukiweka zinaingia ukiuliza salio watakuambia Mb za promoshemi umepewa kiasi fulani.Hii unapataje ?enlight me pls
Unataka siku usipoamua kulipia kusiwe na maswala ya kutoa taarifa na siku ukilipia kusiwe na charges kufidia siku ambazo haujalipia?Mkuu hao Voda nao jau nimeongea nao huduma Yao Kila mwisho wa mwezi unatakiwa kulipia yhn hawana huduma ya free pain ni postpaid bado changamoto sanaa kama ikitokea tharura mwez huu hulipi basi unawapigia simu unawaambia Tena iwe issue ya maana ndio wanaweza kukuelewa[emoji1751]
Alafu ananishauli niwekee bando la elf 75 napata gb 100 dah! Kwa 4g sa SI bola tu niwekee zile ODU kuliko hio hizi company za internet wanalinga sanaa wazee
Bola hata Ivo basi maana wananichanganya kichwaYeah. Kwa ODU hyo 100gb unaweza kuimaluza within 24 hrs
Hilo hata mimi nimeligunduaMkuu Scars yule dada kanicheki leo, ananiambia eti maeneo nilipo inawezekana kuna 5g, hivyo kesho surveyor atakuja kucheki network kama kuna 5g...
Inavyoonekana wanahitaji wateja sana, shida wameshindwa kujua soko kubwa kwa sasa liko wapi...
Hivyo vifaa vyao vya 5g walivyofunga bunju,kunduchi,kawe nk wangevileta maeneo mengine kama kimara,ubungo,mbezi mwisho na kibamba wangepata wateja wengi sana....
Tuendelee kiwashauri waache kukimbilia maeneo yaleyale ambayo yameshakamatiwa tayari..
Changamoto sanaa kakaUnataka siku usipoamua kulipia kusiwe na maswala ya kutoa taarifa na siku ukilipia kusiwe na charges kufidia siku ambazo haujalipia?
Kama ni hilo hata mimi nakusapoti maana sielewi hata sababu ya wao kuset mfumo huo ni nini haswa.
Ni kama wanatulazimisha hivi kusiwe na exit door yani tusalie kwenye huduma zao tu.
Wangeweka mfumo simple kama huu tunaotumia kwenye laini zetu za kawaida tunavyonunua bundle ingekuwa fresh.
Mtu anaamua kununua kifurushi muda wowote anaitoka na hata akikaa mwaka bila kuweka hakutakuwa na faini siku atayoweka, kwasababu kile kipindi ambacho hajaweka vocha hakuwa anapata hiyo huduma.
Mfano wa ODu mkuuYeah. Kwa ODU hyo 100gb unaweza kuimaluza within 24 hrs
Na wakijichanganya voda wakaleta vifurushi vya bei tofauti tofauti baasi wameisha..Hilo hata mimi nimeligundua
Mi juzi hapo alinipigia yule Dada akinisisitiza kuwa nimsaidie kutafuta wateja.
Akaniambia "atayeonesha nia ya kutaka huduma mwambie akupe namba yake halafu unitumie mimi"
Hapo nikagundua kwamba wanapambana sana kutafuta wateja, yani amefikia hatua anaanza kuhisi pengine watu naowapa namba zake hawamtafuti
Labda kwasababu ya ubize wa mambo mengi na hivyo anataka yeye ndio abebe jukumu la kuwapigia simu nikimpa namba zao.
Inaonesha dhahiri kuwa wana njaa na wateja ila wao wenyewe ni kama bado wanashindwa kujua sababu za wao kukwama zinatokana na wao wenyewe.
Hii mitandao miyeyusho sometimesChangamoto sanaa kaka
Kama umbali gani kutoka hizo nyaya za fiber zilipo mpaka wewe ulipo?Na wakijichanganya voda wakaleta vifurushi vya bei tofauti tofauti baasi wameisha..
BTW huku mtaani niliko voda wametandaza waya wa fiber kuelekea taasisi moja hivi ya serikali, nilimuuliza mwamba mmoja akasema mtu binafsi wanampelekea pia..
That means inawezekana mwakani soon fiber itakuwa siyo habari za kufikirika tena..
Mimi binafsi najua siwezi gusa maana niko mbali.... Ila kwa walio mita kadhaa najua wataunganishwa kwa bei chee kabisa..Kama umbali gani kutoka hizo nyaya za fiber zilipo mpaka wewe ulipo?
Halotel nao wanazo ila walinitajia madola mengi yakunikomoa.
Ulizia bei kwanza za installation pamoja na packages zao kama zipo friendly
Mfano wa ODu mkuu