Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Voda wataenda kupoteza wateja wengi sana.

Kwasababu ya gharama zao kuwa juu pamoja na masharti ambayo kimsingi haya maana yeyote.

Airtel nimefanya mawasiliano nao wako simple sana yani hiyo 70K ukitoa hapo hapo unapewa Router na kuanza kutumia.

Lakini Voda wanataka utoe kwanza Security deposit ya miezi miwili ya kifurushi unachotaka kununua.

Halafu unatumia mwezi mmoja tu baada ya hapo unatakiwa ulipie tena wakati mwanzo ulitoa ya miezi miwili.

Baada ya mwaka Airtel watakuwa wamesambaa sehemu nyingi kuliko Vodacom.

Jumatatu nikiipata nitaleta hapa mrejesho
Mkuu mrejesho vipi hapa
 
Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#

-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.

-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)

vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
Mkuu mtoa mada hii kitu bado ipo au imeishakuwa zilipendwa? Please update your thread.
 
chuxxe njoo utusaidie majibu
1693927247691.png
 
Back
Top Bottom