Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Kwa hiyo eneo lako lilikuwa lina 5G?Hapana mtu mwingne ila yule dada pia alinichek
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo eneo lako lilikuwa lina 5G?Hapana mtu mwingne ila yule dada pia alinichek
Hapana mkuu ni 4G tu ndio natumia ila wanadai siku wakifunga 5g ita connect automaticKwa hiyo eneo lako lilikuwa lina 5G?
Je initial cost ni kiasi gani wanahitaji?, ili kupata vifaa, Nafikiria hii package ya 70K itanifaaHapana mkuu ni 4G tu ndio natumia ila wanadai siku wakifunga 5g ita connect automatic
Hongera MkuuHapana mkuu ni 4G tu ndio natumia ila wanadai siku wakifunga 5g ita connect automatic
Bro umeandika GB 200? au typing errorSpeed nzuri sana mkuu usiku wa Leo nimeshusha kama gb 200 asubuh zote zimemaliza asee[emoji2]
Mshangao wako una maanisha haiwezekani au ni ndogo?Bro umeandika GB 200? au typing error
GB200Bro umeandika GB 200? au typing error
Shukran za dhati ziende kwako mkuu bila wew sasaiv ningekuwa na oddu hapa asee [emoji23]Hongera Mkuu
Ngoja namimi siku nikiamua naweza fumba macho nikatoa 270KShukran za dhati ziende kwako mkuu bila wew sasaiv ningekuwa na oddu hapa asee [emoji23]
Tigo kuna vifurushi vya ofisi kwaniNenda duka la airtel na Tin number na kitambulisho cha nida wantakuunga hii iko safi sana
Mkuu mrejesho vipi hapaVoda wataenda kupoteza wateja wengi sana.
Kwasababu ya gharama zao kuwa juu pamoja na masharti ambayo kimsingi haya maana yeyote.
Airtel nimefanya mawasiliano nao wako simple sana yani hiyo 70K ukitoa hapo hapo unapewa Router na kuanza kutumia.
Lakini Voda wanataka utoe kwanza Security deposit ya miezi miwili ya kifurushi unachotaka kununua.
Halafu unatumia mwezi mmoja tu baada ya hapo unatakiwa ulipie tena wakati mwanzo ulitoa ya miezi miwili.
Baada ya mwaka Airtel watakuwa wamesambaa sehemu nyingi kuliko Vodacom.
Jumatatu nikiipata nitaleta hapa mrejesho
Post zilizofuata nimeelezaMkuu mrejesho vipi hapa
Ngoja nipande taratibu basi, msaada kama utaweza kunitag.Post zilizofuata nimeeleza
Mkuu mtoa mada hii kitu bado ipo au imeishakuwa zilipendwa? Please update your thread.Halotel
-Royal bundles pengine kifurushi kizuri zaidi kwa Sasa kinakupa dakika takriban 200 na Internet unlimited kwa 0.5mbps kwa mwezi mzima. Ni vyema kwenda ofisi za Halotel na kununua line ya Royal bundle, pia unaweza kukuunga kwa kubonyeza menu yao ya *148*66#
-Mega bundle kwa shilingi 10,000 Unapata GB 15 ambazo unatumia mb 500 kila siku kwa mwezi, kujiunga ni *150*88#, unakiunga na salio la halopesa.
-Kifurushi Cha usiku kwa 1000 unapata Internet unlimited, kizuri kwa ajili ya kudownload files kubwa Kama games na movies. Kujiunga *148*66# kisha vifurushi maalum (ya kwako tu)
vifurushi vya 4G kuendana na line zao mpya za 4G,
1000 unapata GB 1 kwa siku
5000 unapata GB 7 kwa wiki
10,000 unapata GB 10 kwa mwezi.
Shukran za dhati ziende kwako mkuu bila wew sasaiv ningekuwa na oddu hapa asee [emoji23]
Siku hiyo hiyo mkuuBaada ya kufanya malipo ni muda gani umefika mpaka kukabidhiwa?
Mkuu kwema?Siku hiyo hiyo mkuu