Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Ni Haier HQLED Google TV

Android 11
Kwa android download yacine tv kama wadau huko juu walivyoshauri Wana native Android tv app.

Ni ya kiarabu sema inaonesha mechi zote na Kuna tv nyengine za movies pia.

Alternative ni TV za kununua AliExpress ama kwa warusi Kuna TV nyingi tu Chini ya 5000 kwa mwezi.
 
Tv za kununua ali express ni zipi hizo mkuu??
 
Mimi nili Download Yacine TV ikafunguka fresh tu sema ili ifanye kazi inahitaji Ile supporting app (YTV Pro) ndio inayokataa. Inasema it's not supporting Ile TV.

Ntatuma picha jioni halafu utanielekeza zaidi mkuu.
 
Support app pia download ya tv ipo playstore ya tv Yako ama sideload apk ya tv.
 
Hawa starlink speed Yao Ina balaaa sana Hawa siku wakija TZ mitandao ya simu itaachwa mbali sana kwenye vifurushi vya data
20240122_194544.jpg
 
Tv za kununua ali express ni zipi hizo mkuu??
Kama hio

Leo pamoja na kuna mvua na mawingu Dar, ila network iko full bar, 10Mbps wanakupa na nyongeza ya 2Mbps bureee[emoji23][emoji23]

View attachment 2877184

Changamoto ya Airtel iko hapa. Anakupa ping ndogo saana almost kama fiber ila zinavyospike hovyo hovyo hadi kero.

Unaweza ukawa unapata 60ms kwa SouthAfrica mara inapanda ghafla hadi 300ms halafu inashuka within 3 seconds. Na hii issue inaweza jirudia hata mara 3 in a minute.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom