Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

hakuna 5g tz boss just unatumia 4g ikiwakatika ubora wake kidogoo 5g nenda kaangalie video ya mkbhd youtube ni 500mbps minmum
Nani kakuambia Tanzania haifiki 500mbps? Unalipia kutokana na speed unayotaka mwenyewe, Tigo yao ni 1Gbps na Vodacom walianza na 400mbps nafkiri washa upgrade Hadi 1Gbps Sasa hivi, Airtel backbone yao ndio imezinduliwa juzi juzi ni 180Tbps hivyo vi speed vya 500mbps ni kama vitone tu kwenye bahari.
 
Wakuu nilikuwa naomba kuuliza hii fiber ya ttcl ,je kunakuwaga na gharama za kufunga na kama zipo huwa ni sh ngapi ,maana nimecheki coverage kwenye ramani imepita karibu kabisa na nilipo Yani tofauti ya distance ni kama mita 30 hivi.
 
Hakuna, unalipia tu gharama ya mwezi wa kwanza, ila ukiacha kutumia wanakuja kuchukua router na vifaa vyao vyengine.
 
Nashukuru kwa taarifa, naona leo walinitumia haka kaujumbe
Screenshot_2024_0126_191541.jpg
 
Wakuu nilikuwa naomba kuuliza hii fiber ya ttcl ,je kunakuwaga na gharama za kufunga na kama zipo huwa ni sh ngapi ,maana nimecheki coverage kwenye ramani imepita karibu kabisa na nilipo Yani tofauti ya distance ni kama mita 30 hivi.
unacheki wapi hiyo coverage mkuu
 
Mkuu ilikubali. Nili uninstall nikadownload moja Kwa moja kwenye website Yao ndo imekubali. Hapa ntakula soccer Tu kupitia Unlimited ya Airtel
Nyengine hio uliotajiwa juu live football tv mod isio na matangazo, sema hii haikubali remote ya tv inataka mouse. Naitumia Mimi kwenye simu na Samsung dex kwenye tv, ipo vizuri nayo.
 
Samahani chief wapi naweza pata wifi extender inayowaza kucover more than 100m(nipo mkoani lakini)
 
Nature ya wifi kukiwa na ukuta, miti, na mambo mengine yanayoziba haziendi mbali, kukiwa wazi hata router ya kawaida inafika umbali huo, angalia eneo lako ipoje kwanza, sometime utahitaji kusafirisha na waya mpaka mahala unapotaka ndio uweke router kama repeater.
 
Nyengine hio uliotajiwa juu live football tv mod isio na matangazo, sema hii haikubali remote ya tv inataka mouse. Naitumia Mimi kwenye simu na Samsung dex kwenye tv, ipo vizuri nayo.
Mkuu, ikiwa TV za Samsung na LG hazina huduma ya google, je una-install vipi hizi Apps kutoka play store?.
 
Samsung wana os yao nyengine inaitwa Tizen na LG wana os yao nyengine inaitwa Web os, os zote mbili hazikubali app za android.

Kwa Samsung kuna stremio store incase unataka app ya movies na iptv zipo app zake pia sema inabidi link ujitafutie mwenyewe kama za Kununua ama za bure.

Kwa LG watu hutumia lampa kama alternative ya Stremio, hii pia hutumika kwenye proprietary os nyengine kama Vidaa ya Hisense, inabidi uwe na jackett na Torrserve kuangalia movies na series, kwa iptv ni kama juu inabidi uwe na link zako.
 
Wakuu naomba tips za kufanya hii router ya Airtel unlimited inipe Kasi nzuri, ni siku ya pili sasa tangu niinunue pale mlimani City kifurushi Cha 10Mbps.
Iko slow sana mfano YouTube inafunguka kwa shida sana tena low quality 144k na hapo taa ya 4G inawaka na ya kijani pia, isipokuwa tu ya 5G..
Huku upande mwingine, kwenye line ya kawaida ya Airtel kwenye simu Iko vizuri tu sana.
Nashidwa kuelewa shida nini same internet provider lakini Kasi changamoto kwenye hiyo Router haifiki hata 300kb/s
 
Nenda kwenye setting weka 5g only
 
Back
Top Bottom