Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

Wengine huju tulipo huo mtandao mnasema muda wote ni h+ , yani 4g mpaka uwashe flight mode na kuzima, nayo haimalizi dakika inarudi h+ na ikiwa katika h+ ni sawa na kusema umezima data
 
Kama ukitoka nje ama juu ya bati etc unaipata consider kutega router mahala pazuri ama nunua booster ya network.
 
Ni hii offer aliyopost donluchesse hapo, hii ttcl nikiendaga maeneo ya stendi ndo inasoma fresh nikiwa home ndo hali hiyo
 
Sababu nimeona umeandika ukiweka offline mode ukirudi Sha inasoma kisha inakata.

Njia nyengine unaweza force 4G only, sema ukipigiwa hutapatikana.

Code:
 *#*#4636#*#*
 
Hii safi, haina code yake ya kureverse?
 
Hizo ni siasa mkuu.
Inajulikana wazi kabisa TTCL ni wazito kuitikia kwenye kutoa huduma, ila kwenye TTCL kutumia nguzo za Tanesco ni scapegoat kwa wanasiasa, TTCL wanabaki na zigo la lawama.
 
IMG_8458.jpeg

Hii ina ukweli wowote kwa anaejua?
 
Wengine huju tulipo huo mtandao mnasema muda wote ni h+ , yani 4g mpaka uwashe flight mode na kuzima, nayo haimalizi dakika inarudi h+ na ikiwa katika h+ ni sawa na kusema umezima data
Mimi hapa niko chamwino, ila speed ninayopata NI hii
 
Attachments

  • Screenshot_2024-03-13-06-29-28-647_com.android.chrome.jpg
    Screenshot_2024-03-13-06-29-28-647_com.android.chrome.jpg
    173.1 KB · Views: 16
Back
Top Bottom