Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
- Thread starter
-
- #21
Hata mke wako naweza kumtambua kama ni malaya, !!Umekuja town lini mzee, njoo tukufundishe jinsi ya kutambua malaya
Barabara za kimara bonyokwa ni kisangaKuna sehem wilaya ya ubungo barabara zake ni mashimo na kuna changamoto kibao lakini mkuu wa wilaya anahangaika na malaya.Wazee wa upwiru anataka wakabake ama anataka wamnyatie wife wamle ndo atajua umuhim wa dada poa
Badala ya kuangaika na matokeo ya mfumo mbaya wa maisha na madhara ya hali ngumu ya maisha viongozi hawa wangekuwa wanajikita kwenye swala zima la kuifanya jamii iwe bora kuanzia mashuleni.Habari zenu wana jamvi,
Katika pitapita huko mtandaoni nimeona taarifa ya operesheni anayoiendesha Mkuu wa wilaya ya Ubungo,Mh Hassan Bomboko ya kutokomeza biashara ya ukahaba. Takribani miezi miwili amekuwa akiendesha kampeni ya kamata kamata wanawake anaodai ni madada poa na vilevile wanaume wanaodaiwa ni wanunuzi wa makahaba na kama hiyo haitoshi amekuwa akizigungia hadi bar mbalimbali zilizoko Ubungo na Sinza kwa madai ya kwamba zinawahifadhi makahaba.
Swali langu tu ,Je anatumia vigezo gani kuingilia faragha za watu ndani ya nyumba za kulaza wageni kama vile lodge ? Katika video iliyorushwa na Millard Ayo imeonesha akivamia lodge inayofahamika kama PR na kufungua vyumba vyote na kuwatoa watu katika faragha zao kwa madai kuwa ni makahaba na wanunuzi. Je hii ni sawa?
Pia amekuwa akizifungia lodges , je anataka wamiliki wa lodges wawe wanafanya kazi ya polisi kuhoji kazi ya kila mtu anayekwenda kuhitaji kupatiwa chumba cha kulala?
Vp ikiwa mtu amekwenda kupata faragha na mwenza wake katika hizo lodge halafu yeye anavamia na kuwaita watu ni makahaba na wanunuzi wa makahaba?
Kwa hali hii amefungia hadi Bar mbalimbali Sinza kwa kigezo cha kutopuga marufuku makahaba, je hawa wamiliki wanahusika vipi na masuala ya kufahamu kazi za watu?
Haoni kama anawatafutia hasara za kimapato hao wamiliki wa bar na lodges kutokana na kufungia biashara "halali" zinazoingizia Mapato serikali ya Rais Dr Samia Suluhu Hassan.?
Chanzo: Millard AyoTv
View: https://m.youtube.com/watch?v=x4XCJyVLQ7E
Msenge kweli wewe, tatizo umalaya wako unakusembua, acha kuuza mbunye weweHata mke wako naweza kumtambua kama ni malaya, !!
Unawezaje kwenda kumtoa mtu kwenye faragha tena chumbani...angewakamata wanafanya mambo hayo barabarani sawa! Ila unaingilia faragha ya mtu
Suala kubwa hapa ni yeye kuingilia faragha za watu, kufungia lodges kwa madai ya kufanya biashara za kulaza makahaba bila ya vithibitisho vyovyote, pia anafungia bars wakati hao wote wanalipa kodi TRA na manispaa kufanya biashara. Sasa mwenye bar utamwambia kuwa aende akafukuze watu waliosimama barabarani kwa madai kuwa ni makahaba?Badala ya kuangaika na matokeo ya mfumo mbaya wa maisha na madhara ya hali ngumu ya maisha viongozi hawa wangekuwa wanajikita kwenye swala zima la kuifanya jamii iwe bora kuanzia mashuleni.
Tena kiongozi kijana kabisa huyu anatuangusha vijana wenzake..
kusanya hao dada poa waandikishe toa mwalimu wa ujasilia mali wa hapo manispaa awafundishe biashara then wape mtaji kupitia maendeleo ya jamii na wawafatilie kujua maendeleo yao kibiashara..
Kama imekuuma chomoaMsenge kweli wewe, tatizo umalaya wako unakusembua, acha kuuza mbunye wewe
Oy Moderator unaona hii?Msenge kweli wewe, tatizo umalaya wako unakusembua, acha kuuza mbunye wewe
Kama wana wanasheria wanafungua kesi na wanalipwa vizuri tu fidiaHuyu DC naye sijui ana bifu gani na hao MAKAHABA.....hivi kwa akili yake anadhani hii itasaidia??
Bora ajikite kwenye MAMBO YA MSINGI.
Alafu hao anaowakamata wakiwatuhumu kama makahaba,wakijiongeza kwenda mahakamani kufungua kesi ya udhalilishaji itakuwa KIZAAZAA kwa upande wake
Wiki kadhaa nyuma tu apo tulikaa wiki nzima bila kuwa na maji, hapa bongo kuna viongozi wa ajabu sana aseeWilaya ya ubungo ina changamoto ya maji na barabara mbovu balaa. Zomboko halioni hili
Hilo sio la muhimu aisee...muhimu ni kutembea usiku kufungia lodges na kukamata dada poaWiki kadhaa nyuma tu apo tulikaa wiki nzima bila kuwa na maji, hapa bongo kuna viongozi wa ajabu sana asee
Hilo halioni yy anapambana na watuliza maumivu ya wananchi 🤣🤣Barabara za kimara bonyokwa ni kisanga
Mkuu kusheria mkuu wa Mko au Mkuu wa wilaya ana nguvu kusheria kufunga Buashara ilivyo funguliwa kwakufata sheria ?Viongozi mkurupuko akili kisoda, kuna Mambo ya msingi ya kuhangaika nayo, ila kuhangaika na ma barmaids ni ukosefu wa fikra