Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Marehemu Shana aliyejiweka wazi uccm wake alikuwa na nafuu sana kulinganisha na huyu wa sasaHivi unatambua kua nyuma yake yupo RC ana DC? Hawa Makada wa CCM ndiyo wanaompa maagizo na uongo huu labda umlaum yeye kwa kutumika kisiasa tu.
inasikitisha sana !Kabisa i salute you
Bado una usingizi, lala tena kidogo.Niteueni mimi
..πππ...RPC Becky vp?...Niteueni mimi
..πππ...RPC Becky vp?...
Ufipa lolote linawezekana!Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!
Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .
Hao wote ni uvccm.Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!
Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .