Vigezo vinavyotumika kuteua Ma-RPC viangaliwe upya. RPC wa Arusha hafai

Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!

Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .

Ubambikizaji kesi Kama kawa
 
Huyu Rpc alifeli Temeke kama sikosei, kwa mambo yake haya haya ya kutunga mambo, Lugola the then waziri wa mambo ya ndani, akapaa nae. IGP sijui ana personal interest gani nae, akampeleka Njombe, kule sikumbuki akifanya nini kampeleka Kilimanjaro, JPM aka paa na Rpc wa Aeusha alie kuwa kada wa Ccm, IGP kamhamishia jamaa yake Arusha,
Sasa anaonyesha mapungufu ya wazi kwenye kusimamia usalama Arusha. Mwenye kulaumiwa nI IGP kwa kupanga kazi kwa Interest zake badala ya interest za Taifa
 
Polisi nao ifikie wakati wajitathmini! Kuitumikia ccm hata kwa mambo ya kipuuzi kama hayo, kunawafanya wadharaulike mbele ya jamii ya wapenda haki.
 
Tunakushukuru sana kwa ufafanuzi mkuu
 
Polisi nao ifikie wakati wajitathmini! Kuitumikia ccm hata kwa mambo ya kipuuzi kama hayo, kunawafanya wadharaulike mbele ya jamii ya wapenda haki.
Kinachoonekana ni kwamba Polisi wenye vyeo vya juu wanaamini kwamba wamepata vyeo hivyo kwa kudra ya ccm .
 
Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana Polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!

Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .

Usitetee wahalifu
 
Attachments

  • 707fe124a1f10f2be88b7154b5944547.jpg
    707fe124a1f10f2be88b7154b5944547.jpg
    33.9 KB · Views: 18
Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana Polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!

Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .

BORA MAENDELEO KARIBU ZINAWARUDISHA WAZUNGU, WACHINA, WASOUTH KOREA + ERROR TERM TWENDELEE KUCHAPA KAZI MTUMWA ITAKUWA MTUKISS

asa jailer - Bing video
 
Kazi ya polis iliyobaki now ni kubambikizia watu kesi hasa wapinzani.kwa mtazamo wangu RPC alipaswa kuwa na elimu ya digrii kwa kuanzia, Ocd angalau diploma, Igp lazima aanzie na masters.Maafisa wa makao makuu lazima wawe na digrii.Kinachowaharibu polis ni elimu hasa wanaotoa order.
Wengi wana elimu kubwa sana hata huyu jamaa nina full details zake kuhusu elimu yake,na wapo wengi tumesoma nao huko ktk vyuo vikubwa vyenye majina makubwa nchini.Ila sasa tatizo kinachowaharibu hawa ndugu zetu ni 'sisiemu' ukizingatia bosi wao C IN C ni sisiemu kindakindaki so inawawia ugumu kuacha kutekeleza maelekezo kutoka juu.
 
Chadema acheni uhalifu.
707fe124a1f10f2be88b7154b5944547.jpg
 
Back
Top Bottom