Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #41
sasa wewe si ndio kimbelembele !Unaniuliza mimi? Hauna kumbukumbu za mahakama?
sasa wewe si ndio kimbelembele !Unaniuliza mimi? Hauna kumbukumbu za mahakama?
Kweli dunia tambara bovu , Magessa Mulongo kishaanza kugombea bia ?Inabidi ajitafakari Sana hasa kuhusu utendaji wake wa kazi na ushirika wake na ccm kwani Arusha ni kipimo Cha mwisho na huenda no kituo Cha mwisho Cha kitubio!
Aigeuze shingo yake awaangalie waliomtangulia waliishiaje? Na kwa kuanzia aanze na marehemu Shana na Gambo na huyu magesa anayegombea bia kule mbezi! Ngoma ya Arusha haikeshi!
Jamaa mtu poa hana shida na mtu,huo mchezo unachezwa na RC na huyo dc ***** alietoka iringaAmekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana Polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!
Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .
Mtu wa zenji kama sikoseiTangu Rink RPC akawa na sura ya kike hivi? Mrembi hivi
Wapambe atuhemi wallah 😜😜
Hapana! Jamaa ni mtu wa Nzega-Tabora kwao wana asili ya uarabu.Mtu wa zenji kama sikosei
Usiyempenda kaja!Amekuwa akitunga mambo mepesi sana kuhusiana na matatizo yanayotokea kwenye masuala ya Chadema Arusha, Hitimisho linalotokana na uchunguzi wake ni la kusononesha mno! Ilipochomwa ofisi ya Chadema alikuja na majibu yasiyomridhisha hata mbumbumbu mzungu wa reli, jana Polisi wamevamia kituo cha Kampeni cha Mgombea ubunge wa Arusha mjini ndugu Lema, tuhuma zilizotolewa na RPC ukisikia unaweza kucheka na baadaye ukalia!
Kuna haja ya kubadili njia zinazotumika kuwapata askari wanaoteuliwa kuwa Makamanda wa mikoa ya kipolisi labda twaweza kuwapata wenye weledi .
Hata tulivyopinga Lugola kuteuliwa waziri wa Mambo ya ndani mlisema hivi hivi , halafu ikawaje ?Usiyempenda kaja!
Hamduni siyo Kangi bwashee!Hata tulivyopinga Lugola kuteuliwa waziri wa Mambo ya ndani mlisema hivi hivi , halafu ikawaje ?
Unaandika nini wewe ? kwani Lugola si ndio alikuwa boss wa Hamdun ?Hamduni siyo Kangi bwashee!