Vigezo vinavyotumika kuteua Ma-RPC viangaliwe upya. RPC wa Arusha hafai

Ubambikizaji kesi Kama kawa
 
Huyu Rpc alifeli Temeke kama sikosei, kwa mambo yake haya haya ya kutunga mambo, Lugola the then waziri wa mambo ya ndani, akapaa nae. IGP sijui ana personal interest gani nae, akampeleka Njombe, kule sikumbuki akifanya nini kampeleka Kilimanjaro, JPM aka paa na Rpc wa Aeusha alie kuwa kada wa Ccm, IGP kamhamishia jamaa yake Arusha,
Sasa anaonyesha mapungufu ya wazi kwenye kusimamia usalama Arusha. Mwenye kulaumiwa nI IGP kwa kupanga kazi kwa Interest zake badala ya interest za Taifa
 
Polisi nao ifikie wakati wajitathmini! Kuitumikia ccm hata kwa mambo ya kipuuzi kama hayo, kunawafanya wadharaulike mbele ya jamii ya wapenda haki.
 
Tunakushukuru sana kwa ufafanuzi mkuu
 
Polisi nao ifikie wakati wajitathmini! Kuitumikia ccm hata kwa mambo ya kipuuzi kama hayo, kunawafanya wadharaulike mbele ya jamii ya wapenda haki.
Kinachoonekana ni kwamba Polisi wenye vyeo vya juu wanaamini kwamba wamepata vyeo hivyo kwa kudra ya ccm .
 
Usitetee wahalifu
 

Attachments

  • 707fe124a1f10f2be88b7154b5944547.jpg
    33.9 KB · Views: 18
BORA MAENDELEO KARIBU ZINAWARUDISHA WAZUNGU, WACHINA, WASOUTH KOREA + ERROR TERM TWENDELEE KUCHAPA KAZI MTUMWA ITAKUWA MTUKISS

asa jailer - Bing video
 
Wengi wana elimu kubwa sana hata huyu jamaa nina full details zake kuhusu elimu yake,na wapo wengi tumesoma nao huko ktk vyuo vikubwa vyenye majina makubwa nchini.Ila sasa tatizo kinachowaharibu hawa ndugu zetu ni 'sisiemu' ukizingatia bosi wao C IN C ni sisiemu kindakindaki so inawawia ugumu kuacha kutekeleza maelekezo kutoka juu.
 
Chadema acheni uhalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…