Vigezo vinavyotumika kuteua Ma-RPC viangaliwe upya. RPC wa Arusha hafai

Inabidi ajitafakari Sana hasa kuhusu utendaji wake wa kazi na ushirika wake na ccm kwani Arusha ni kipimo Cha mwisho na huenda no kituo Cha mwisho Cha kitubio!
Aigeuze shingo yake awaangalie waliomtangulia waliishiaje? Na kwa kuanzia aanze na marehemu Shana na Gambo na huyu magesa anayegombea bia kule mbezi! Ngoma ya Arusha haikeshi!
 
Kweli dunia tambara bovu , Magessa Mulongo kishaanza kugombea bia ?
 
Jamaa mtu poa hana shida na mtu,huo mchezo unachezwa na RC na huyo dc ***** alietoka iringa
 
Hamduni huwa anazungunza kwa taratibu sana yaani hana jazba kama marpc wengi, jinsi anavyoongea anaonekana ni mtu mstaarabu, chakushangaza ni jinsi anavyodili na uhalifu wa kisiasa!
 
Usiyempenda kaja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…