Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
Wewe ni mbinafsi jamii ya kina Yusuph Makamba.

Sina zaidi la kukwambia
 
Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
Hata wangekuwa na degree kazi ni kama hapa👇
 
Attachments

  • VID-20220507-WA0000.mp4
    1.7 MB
Yaani vigezo vya kuwa Karani eti Kidato cha nne? Seriously? Yaan na hili la ukosefu wa Ajira. Tarajieni mafuriko, gombania goli hata huo mfumo wa kupokea applications Lazima uzimike!
Ni kweli wangeanzia PHD holders sio 4m4 ndio mana hii nchi iko hovyo hovyo tu.

Huwezi recruit low minded people kufanya kazi katia inshu sensitive ya kitaifa kama hiyo.

#MaendeleoHayanaChama
 
phd holders wako wangapi kulinganisha na mahitaji husika???
 
Hapo wameweka elimu kidato cha NNE ila kuna kipengere cha kujaza elimu yako ya JUU, hiyo ni faida ya ziada…. na itazingatiwa.
Sidhani kama watazingatia hilo, labda kama utaratibu umebadirika, nakumbuka Sensa ya mwaka 2012 nafasi hizi zilitolewa kwa upendeleo sana, wengi wenye sifa za ziada waliachwa na kuchukuliwa hao wa form four kutokana na kujuana.
 
Back
Top Bottom