Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

Vigezo vya kazi ya Sensa mbona vipo chini Sana?

wahitimu wengi wa form 4 huku mtaani hatuna ajira, nyinyi wenye madegree si mpo vizuri na mmeajiriwa mnapiga kazi
 
Vip mbunge wako wa darasa la 7 huko anaendelea kuvuta mshahara wake kila mwezi na marupu rupu harafu wewe na kadigree kako ka kuangalizia unabaki kukamaliziana mboga na madogo zako,
jifunze kuheshimu elimu ya mtu na utu wake,
Nchi nyingine wanasoma ili waendelee Tanzania wanasoma ili kushindana too bad
 
Waweza kuta form 4 hawana hata muda wa kazi za sensa wanapambana na Ujasiriamali ila watu wa degree na masters [emoji23][emoji23][emoji23] ungezungukia stationeries ungeona
 
Back
Top Bottom