Nataka kujua kama chemia c bios c phycs d unaweza soma PCB au chemia c math c phycs d unaweza soma pcm advance government msaada jamanKama una cheti cha form four na ada hauhitaji connection. Vyuo vipo kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww n CBG tu labda kama n mtoto wa kikeNataka kujua kama chemia c bios c phycs d unaweza soma PCB au chemia c math c phycs d unaweza soma pcm advance government msaada jaman
Unaweza kunielekeza namna ya kufanya application kupitia nacte tafadhali nisaidie kwenye hiloKuna ilonga morogoro, kuna kilombero na ifakara kote huko ni vyuo vya kilimo
Sokoine University of Agriculture- Mrorogoro, MATI Nyegezi Mwanza, MATI-Ukiliguru MwanzaNaitwa wiston natafuta chuo cha kilimo cha selikali kinacho toa course ya diploma
shukrani mkuu japo hawajaonesha muhula wa masomo unaanza liniAngalia kiambatisho hiki kutoka kwenye mwongozo wa NACTE 2020/2021
shukrani mkuu japo hawajaonesha muhula wa masomo unaanza lini
Mi dogo kachaguliwa TICD Tengeru lakini namna ya kufanya uthibitisho wa uteuzi ndo imekuwa shida
Kwa ufahamu wangu ni kwamba unalipa mwenyewe ada yote na mwaka wa kwanza huwa wanalipoti mwezi wa 10 japo miaka ya mbele wanalipoti tar16 mwezi wa 11habari za leo wakuu,nimechaguliwa kibaha college of health and allied sciences kozi ya clinical officer moja kwa moja katika selection naomba kufahamu'...
nlitaka kukujbu ila cjaelewa hapaSamahanini Mimi nimemaliza kitato cha nne mwaka 2019 na nimepata division 2 ya point 21 matokeo yangu hayahapa
Biology. C
History. C
Kiswahili.C
Literature . C
Civics . C
Geography. C
English. C
Math. F
Ila post zilivyo toka nimechaguliwa chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma myaka 3 ,,, samahani hivi ajira inatoa serikali au kujiajili
Naimbeni majibu nduguzangu , Kaka , zangu, dada,