Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

Vigezo vya kujiunga na Vyuo vya Kati (Colleges) kwa ngazi za Cheti na Diploma

habari za leo wakuu,nimechaguliwa kibaha college of health and allied sciences kozi ya clinical officer moja kwa moja katika selection naomba kufahamu'

je,hii inakuwa ni under government sponsorship au najilipia mwenyewe?

na kama ni wote tunachangia,je serikali huchangia kiasi gani na mimi mwanafunzi kiasi gani?

mwisho,naomba kufahamu intake huanza mwezi gani maana najaribu kufungua website ya chuo na sijafanikiwa kupata jibu sahihi.

NATANGULIZA SHUKRANI🙏
 
Nina four ya ishirini na 28; je, kwa maksi haya naweza kupata chuo?
 
Ndugu zangu nisaidie mtoto wa sista amepata four ya 28 amesoma sayansi ni msichana ana d zaidi ya 4 na c moja ya kiswahili dd chem bios je anaweza kusoma fani gani yenye unafuu wa ada na michango ya ajira?
 
Samahan, kuna uwezekano wa kubadirisha kozi n'a chuo..ukafanya application chuo kingine ijapokiwa umechaguliwa na Tamisemi kujiunga na chuo.ambacho huhitaji kusoma koz waliyokuchagua?
 
habari za leo wakuu,nimechaguliwa kibaha college of health and allied sciences kozi ya clinical officer moja kwa moja katika selection naomba kufahamu'...
Kwa ufahamu wangu ni kwamba unalipa mwenyewe ada yote na mwaka wa kwanza huwa wanalipoti mwezi wa 10 japo miaka ya mbele wanalipoti tar16 mwezi wa 11
 
Nimesoma katika chuo kilichosajiliwa na veta nimepata certificate ya tourism management and wildlife je naweza kujiunga na vyuo vingine ili kupata diploma?
 
Mimi nina form four mwaka 2012...
Phy D,
Bios D ,
Geog D,
Kisw D,
Civ D,
Hist F,
Eng F,
Math F,
DIV IV-30

NIKARESEAT 2014
Eng B,
Hist D,
Kisw D,
Civ D,
Geog D,
Chem F,
Math F,
(PASS)

Kwa Matokeo haya naweza soma course gani ndugu zangu....? Maana tangu mwanzo nilikuwa napenda masomo ya sayansi ila ndo ivo..
 
Samahanini Mimi nimemaliza kitato cha nne mwaka 2019 na nimepata division 2 ya point 21 matokeo yangu hayahapa

Biology. C
History. C
Kiswahili.C
Literature . C
Civics . C
Geography. C
English. C
Math. F
Ila post zilivyo toka nimechaguliwa chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma myaka 3 ,,, samahani hivi ajira inatoa serikali au kujiajili
Naimbeni majibu nduguzangu , Kaka , zangu, dada,
 
Samahanini Mimi nimemaliza kitato cha nne mwaka 2019 na nimepata division 2 ya point 21 matokeo yangu hayahapa

Biology. C
History. C
Kiswahili.C
Literature . C
Civics . C
Geography. C
English. C
Math. F
Ila post zilivyo toka nimechaguliwa chuo cha uwalimu elimu ya awali diploma myaka 3 ,,, samahani hivi ajira inatoa serikali au kujiajili
Naimbeni majibu nduguzangu , Kaka , zangu, dada,
nlitaka kukujbu ila cjaelewa hapa

"samahani hivi ajira inatoa serikali au kujiajili "
 
Back
Top Bottom