vya kusomea n vingi,,ww unapenda kusomea nn?Mimi nina form four mwaka 2012...
Phy D,
Bios D ,
Geog D,
Kisw D,
Civ D,
Hist F,
Eng F,
Math F,
DIV IV-30
NIKARESEAT 2014
Eng B,
Hist D,
Kisw D,
Civ D,
Geog D,
Chem F,
Math F,
(PASS)
Kwa Matokeo haya naweza soma course gani ndugu zangu....? Maana tangu mwanzo nilikuwa napenda masomo ya sayansi ila ndo ivo..
kwa fan ya umeme inawezekana ila kwa tourism sna uhakka. jaribu kuingia website ya chuo chochote uangalie MEQ(minimum entry qualification) zaoNimesoma katika chuo kilichosajiliwa na veta nimepata certificate ya tourism management and wildlife je naweza kujiunga na vyuo vingine ili kupata diploma?
Soma hiyooSelection za waliochaguliwa kwa kusoma kozi za afya kwa walio omba NACTE 2020/2021 zinatoka lini?[emoji120][emoji120][emoji120]
Unapata....Wakuu nauliza Kama maombi ya kuomba diploma muhimbili yamefunguliwa.
Nataka kuomba diploma in radiography, kwa ufaulu wangu huu naweza chaguliwa!?
Biology-B
Physics-B
Chemistry-B
English-B
Kiswahili-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
Civics-C.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Many thanks mkuu.Unapata....
Hapo unapata ila kwa ushauri wangu ungejaribu pia na CUHAS apo Bugando utakuwa na uwanja mpana wa kupata chuo kizuri kwa course yakoWakuu nauliza Kama maombi ya kuomba diploma muhimbili yamefunguliwa.
Nataka kuomba diploma in radiography, kwa ufaulu wangu huu naweza chaguliwa!?
Biology-B
Physics-B
Chemistry-B
English-B
Kiswahili-B
Mathematics-C
Geography-C
History-C
Civics-C.
Naombeni ushauri wenu wakuu.
Aksante kwa ushauri mkuuHapo unapata ila kwa ushauri wangu ungejaribu pia na CUHAS apo Bugando utakuwa na uwanja mpana wa kupata chuo kizuri kwa course yako
Kila la kheri
Unaweza pcm na kombi zengine...pcb minimum point ni tisa(9)...Nataka kujua kama chemia c bios c phycs d unaweza soma PCB au chemia c math c phycs d unaweza soma pcm advance government msaada jaman
PharmacyMsaada jamani kwa haya matokeo
History F
B/math F
Physics F
Civics C
Geography C
Chemistry C
Biology C
Kiswahili C
English C
Ni kozi gani anaweza soma chuo
AsanteePharmacy